Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Moja kwa Moja kwenye maada.
Kabla ya yote nadeclare interest, mimi Nangu Nyau mteja mzuri sana wa madada wauza papuchi aka wauza K aka makahaba.
Pamoja na heshima yangu kwenye mambo nyeti hili ni la kwangu linalonipa burudani wazungu wanasema "my personal affair"
OBSERVATION: Kuna katabia ka hawa wachumbazi zetu aka wauza K kameshamiri sana maeneo mengi ya nchi yetu na kusababisha huduma kuwa za gharama hasa yale maeneo classic yenye hadhi. Dada zetu siku hizi wamejikita kunywa bia zetu hasa za gharama na mwishoni huishia kutupa namba za simu ili tuwatafute siku inayofuatia. Wenye mabaa, pubs, na clubs wamekuwa wakijoint venture na hawa madada kwenye hili ili kuongeza mauzo huku sisi tukipata hasara.
USHAURI: Ukimpenda mchuchu aka kahaba aka dada fresh aka mtoa huduma la kwanza mkubaliane bei kama kulala au short bila extra bills mkafanye yenu then mlipane kama matumizi mengine basi mkiwa kwenye game yenu.
Lengo la uzi huu ni kuwatonya wenzangu kwenye burudani ili kubana matumizi na kuwajurisha wachumba zetu, tunalipa kwa matumizi tu sasa.