Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
- Thread starter
- #21
Tumekupata vyema mkuu, maana hizi tabia zimeenea sana jijini Dar es salaam hasa sehemu za Sinza & Tabata
kila kona ya nchi mkuu, inabidi tustuke wadau tuweke taratibu zetu, tunabargain kwanza biashara ukinywa unakula hela yako sharti ukinywa lazima ukaliwe, lazima walipie huduma kwa gharama wanazotumia.