Ushauri: Wazazi wanataka kumtafutia mchumba

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382


Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini.

Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi kwa karne hii hua kuna vibe na kudumu kweli!? Kwa alie na experience ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
  • ama hujaelewa hyo mistari mitatu ya kwanza, sidhani kama kuna namna unaweza kuelewa ushauri wa watu wa humu, wengine wamevurugana mara 100 ya mama yako.
  • Hayo ndio madhara ya kukimbia kijiji na ukifika mjini huna mwelekeo kifamilia.
 
Usithubutuuu...

Mapenzi ni hisia, tafuta mwenye hisia nawe, kumbuka ndoa ni mkataba.

Utajuta sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ