Ushauri: Webmaster wekeni katiba mpya tuanze kuijadili

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo.

Najua topic inasema katiba mpya lakini ni katiba ya sasa ili tuweze kujadili katiba mpya
 
Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ingependeza tuanze kujadili katiba mazuri, mabaya na mapendekezo.

Uko sahihi kabisa, na ili mijadala ya katiba mpya ishike kasi, ni vyema kwenye vyombo rasmi vya habari kama TV, Redio, online TV nk, zianze kuandaa mijadala ya katiba mpya, kisha waalike wazungumzaji wazuri ili kupandisha hamasa ya jambo hilo muhimu. Na muda mzuri wa jambo hilo ni mwaka huu wa 2023. Sijajua utaratibu ukoje kwenye jambo hili.

Nakumbuka ile 2012 na kuendelea kulikuwa na midahalo ile kupitia TV mbalimbali, na midahalo ile ilifanyika vyuoni, na kwenye kumbi mbalimbali, na karibia yote ilikuwa ikirishwa na TV, na kutangazwa na redio mbalimbali. ITV walitenda haki kwenye hili.
 
Sahihi
 
Kipindi hiko Tundu lissu anashusha nondo kila mdahalo!
 
Back
Top Bottom