Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ingependeza tuanze kujadili katiba mazuri, mabaya na mapendekezo.
Naunga mkono hoja, ila bado hatuna katiba mpya!. PHaya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ingependeza tuanze kujadili katiba mazuri, mabaya na mapendekezo.
Hili ni jambo muhimuHaya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ingependeza tuanze kujadili katiba mazuri, mabaya na mapendekezo.
SahihiUko sahihi kabisa, na ili mijadala ya katiba mpya ishike kasi, ni vyema kwenye vyombo rasmi vya habari kama TV, Redio, online TV nk, zianze kuandaa mijadala ya katiba mpya, kisha waalike wazungumzaji wazuri ili kupandisha hamasa ya jambo hilo muhimu. Na muda mzuri wa jambo hilo ni mwaka huu wa 2023. Sijajua utaratibu ukoje kwenye jambo hili.
Nakumbuka ile 2012 na kuendelea kulikuwa na midahalo ile kupitia TV mbalimbali, na midahalo ile ilifanyika vyuoni, na kwenye kumbi mbalimbali, na karibia yote ilikuwa ikirishwa na TV, na kutangazwa na redio mbalimbali. ITV walitenda haki kwenye hili.
Kazi ianze ASAPSawa Sawa
Kipindi hiko Tundu lissu anashusha nondo kila mdahalo!Uko sahihi kabisa, na ili mijadala ya katiba mpya ishike kasi, ni vyema kwenye vyombo rasmi vya habari kama TV, Redio, online TV nk, zianze kuandaa mijadala ya katiba mpya, kisha waalike wazungumzaji wazuri ili kupandisha hamasa ya jambo hilo muhimu. Na muda mzuri wa jambo hilo ni mwaka huu wa 2023. Sijajua utaratibu ukoje kwenye jambo hili.
Nakumbuka ile 2012 na kuendelea kulikuwa na midahalo ile kupitia TV mbalimbali, na midahalo ile ilifanyika vyuoni, na kwenye kumbi mbalimbali, na karibia yote ilikuwa ikirishwa na TV, na kutangazwa na redio mbalimbali. ITV walitenda haki kwenye hili.
Sijafungua, lakini nina shaka unawa-mislead watu. Kinachotakiwa hapa ni rasimu ya katiba, ya time ya jaji Warioba. Hiyo katiba inayopendekezwa haifai, ilichakachuliwa na ccm.Rasimu ya katiba inayo pendekezwa ya mwaka 2014.