ushauri wenu jamani nasumbuliwa na tumbo

Manselly

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
456
Reaction score
130
Habari zenu wana Jf.
Nina umri wa miaka 27, nina tatizo ambalo hata sielewi chanzo hasa ni nini naombeni ushauri wa kitaalam.
Mara nyingi ninapopewa majukumu nje na yale niliyoyazoea(ya kila siku) tumbo huwa linauma,naweza jiskia kwenda haja kubwa nikienda haitoki na tumbo linavurugika sana pia mwili unachemka na kichwa kinaweza uma hali inayopelekea kichefu chefu kikali then baada ya muda natapika.Nikitapika tu narudi kwenye hali yangu ya kawaida, mwili unapoa na hapo naweza endelea na kazi zangu bila tabu. Nacho fanya imekua kama mazoea nikipata hali hiyo nalazimika kuingiza vidole mdomoni mpaka nitapike ndo nakua normal.Hali hii inanitesa sn hata sijui nianzie wapi kupata tiba ya hii kitu.
Hali hii pia yanitokea ninapokua safarini au ninapokua na jukumu lolote kubwa mbele yangu basi nakua vibaya sn.Kitaaluma mimi ni mwalimu na majukumu nayopewaga ni ya kawaida sn na yote yako ndani ya uwezo wangu lakn cjui kwann hali inakua mbaya ivi hebu nishaurini wadau nianzie wapi manake mpaka naogopa kutoka nje ya maeneo niliyoyazoea.
 
Hilo ni tatizo la kisaikolojia, na maanisha kuwa unapofanya vitu mpya huwa unapata simulation/stimulation ambapo inastimulate vomiting centre kwenye brain.. Ni sawa na wale wanaopata motion sickness ambapo hutapika wakiwa wanasafiri kwa basi, meli au ndege... Kunywa tangawizi/au chai ya tangawizi inasaidia, pia dawa baridi za kuzuia kutapika promethazine zinaweza kusaidia pale ambapo unataka kufanya kitu kitakacho sababisha hilo tatizo... Ila nakushauri pia uende hospitali uonane na daktari bingwa wa magonjwa ya akili atakusaidia kukupa counselling.
 
shukrani sana kwa ushauri manake zamani skuwa na hili tatizo kbsa yani unakuta nikishaambiwa tu kuwa kesho utakua na semina flani ba wewe ndo mwezeshaji basi asbh ntakapoamka lazma ntahisi hali tofauti tumbo litauma weh na kichef chef balaa mpaka nitapike.Inafkia kipindi inanilazim kukataa baadhi ya kazi coz najua hali hii itanitesa.Kwa uzoefu wako wataalam wa izi mambo naweza wapata hosp gani na hiyo Tangawizi niinywe wakati gani mkuu?
 
nipo mlandizi ndugu yangu ntaanza na tangawizi kwanza nijisikilizie manake hii hali sku izi nakuta naweza amka tu nikaanza kujiskia ivo hata kama sina jukum zito yan hata sijielewi mkuu
 
mkuu madonda ya tumbo nayo huwa yanazingua ivi eh?sa nifanyeje kuwa normal
 
suala la jinsia yako nalo lina nafac hapa! na kazi zingine zaidi ya ulizozoea kama zipi? lakini kubwa unaonekana kutawaliwa na hofu. pole.
 
Kama ni ke rule out pregnancy. If negative then this is psychological mainly. Jitahidi kutokuwa na hofu. Waweza meza mood stabilizer kama amitryptiline lakini ushauri wa mdau hapo juu pia mzuri. Good luck
 
Hebu google kitu kinaitwa reflux esophagitis

What are the symptoms of esophagitis?

Symptoms of esophagitis include:

Difficult and/or painful swallowing
A feeling of food getting stuck on the way down
Heartburn, acid reflux
Unpleasant taste in mouth
Sore throat, hoarseness, or cough
Mouth sores
Nausea, vomiting
Abdominal pain or indigestion
Chest pain, in the middle of the chest, often radiating to the back, usually associated with swallowing or occurring soon after a meal
 
Kama ni ke rule out pregnancy. If negative then this is psychological mainly. Jitahidi kutokuwa na hofu. Waweza meza mood stabilizer kama amitryptiline lakini ushauri wa mdau hapo juu pia mzuri. Good luck

Mi ni ME na age yangu 27 nimejieleza vzuri katika uzi wangu.Thanx so much wadau atleast napata mwanga wa pa kuanzia manake haya majanga
 
Mimi ni mwalim,majukum yangu ya kila siku ni kufundisha lakin mbali na hayo mimi ni mtaalam wa mambo ya viziwi so huwa nafanya kutafsiri kwenye mikutano na ishu zingine.So inapotokea napata dili kama izo nje ya ku teach ndo inazingua.Infact siiogopi hyo kazi coz naimudu vizur na nimeisomea ishu ninapohama kwenye ratba yangu ya kila siku tu tumbo linauma na ham ya kula inakata mazima.Ninapojilazimisha kula natapika vyote ndo nakua normal kabisa na kazi zinaendelea.kama sijatapika ujue ntakua vibaya the whole day
 
Hapo ni hofu tu mkuu hakuna zaidi. Nilishawahi kumsikiaga mtu wangu wakaribu akiielezea hio hali yy anapokwenda kwenye exams au akiwa na presentation. Kila asubuhi hua na hali km hio. Pole sana
 
Poa jamani nami nazidi kumuomba Mungu najua ntapata soln la hii kitu na ntakua normal ila hapa nimepata ideas za wapi pa kuanzia
 
Au kuna dawa gani inayoweza kukata hali ya kichefchef fasta ili niwe natumia pindi tumbo linapochafuka na kuzuia kutapika ili nifanye kaz zangu vzur?Nilishawah kujaribu dawa flani yaitwa NOISIC lakini wap nikatapika kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…