Habari zenu wana Jf.
Nina umri wa miaka 27, nina tatizo ambalo hata sielewi chanzo hasa ni nini naombeni ushauri wa kitaalam.
Mara nyingi ninapopewa majukumu nje na yale niliyoyazoea(ya kila siku) tumbo huwa linauma,naweza jiskia kwenda haja kubwa nikienda haitoki na tumbo linavurugika sana pia mwili unachemka na kichwa kinaweza uma hali inayopelekea kichefu chefu kikali then baada ya muda natapika.Nikitapika tu narudi kwenye hali yangu ya kawaida, mwili unapoa na hapo naweza endelea na kazi zangu bila tabu. Nacho fanya imekua kama mazoea nikipata hali hiyo nalazimika kuingiza vidole mdomoni mpaka nitapike ndo nakua normal.Hali hii inanitesa sn hata sijui nianzie wapi kupata tiba ya hii kitu.
Hali hii pia yanitokea ninapokua safarini au ninapokua na jukumu lolote kubwa mbele yangu basi nakua vibaya sn.Kitaaluma mimi ni mwalimu na majukumu nayopewaga ni ya kawaida sn na yote yako ndani ya uwezo wangu lakn cjui kwann hali inakua mbaya ivi hebu nishaurini wadau nianzie wapi manake mpaka naogopa kutoka nje ya maeneo niliyoyazoea.