Ushauri wenu jamani

Ushauri wenu jamani

IMG-20250117-WA0319.jpg
 
mada kama hizi ndo zinashushia hadhi hii forum, hivi mods mnakua hamuoni au mnatutega? hii chai yako imezidi sukari tukiamua kuichujua tunapata na chupa zingine za chai full!! pathetic!!
 
Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia na wanangu, tunagombana kiasi kwamba sasa hivi hata tendo la ndoa hakuna.

Si kama ananip*iga wala kunitukana, hapana, mume wangu anahudumia familia, anajali, anatoa kila kitu, huwezi kumuomba akakunyima, anafanya kazi na mimi kanifungulia biashara mara 4, lakini ilishindikana kwa sababu sikuwa na amani ya roho. Shida, mume wangu ni mtu wa kazi, hana muda na familia, yaani hana yale mahaba, huwezi amini mume wangu hajawahi kuninunulia zawadi yoyote, hajawahi, ukimuambia anakwambia hela si zipo, wewe nenda mimi ninunue. Yaani kuliko kuninunulia kitu anakupa hela!

Unaweza kusuka, anakupa hela, lakini hata kukusifia umependeza hatusifii, yaani ni majirani na watu wa nje. Rafiki zangu wakija nyumbani waninisifia, lakini yeye hata hajali na hanioneshi wivu kabisa.

Naweza kumuaga naenda nyumbani kwa mama, nikaenda hata wiki lakini hajali, hawezi kufuatilia kama nimeenda kweli au niko kwa mwanaume.

Baada ya kuona hivyo, niliamua kuchepuka makusudi ili aone wivu, ila haonyeshi tofauti, nimejaribu kumuonyesha vituko ila hajali, mpaka kuna wakati natamani kujirekodi nikiwa na mwanaume mwingine nimtumie, ila naogopa itakuwa aibu kwa ndugu zangu.

Kuna kaka niko naye, yeye ni mdogo, mimi nina miaka 42, yeye ana miaka 31, amemaliza chuo lakini hajapata kazi, niko naye kwenye mahusiano huu ni mwezi wa 6, nina furaha sana, na ananipenda, yaani mwanamke ujajaliwa mpaka unajiona malaiika, asubuhi anakutumia emoj nyingi za mapenzi, mchana ndiyo, atataka kuja, kila wakati ana muda na mimi sana.

Mimi sina kazi, na yeye hana kazi, lakini mimi na mume wangu tumejenga, tuna nyumba tano, mbili zina majina yangu na tatu zina majina yake, ambapo moja ndiyo tunaishi. Hizi zangu ni za kupangisha, na kodi nachukua mimi, mume wangu haniulizii.

Sasa ninachouliza, je, nikaachana na mume wangu, kwani tutagawana na hizi nyumba zangu? Mimi sijali kuhusu zake, kwani zangu ziko sehemu nzuri, ni yeye alijenga bila kundiandika mimi. Nataka talaka, lakini nataka kila mmoja abaki na nyumba zake, kwani mimi na huyu mwanaume niliye naye tumepanga kutengeneza BNB kwenye hizi nyumba zangu, tuwe tunasimamia wote, nataka tu mume wangu asizidai!
Rubbish tupu.
 
Mi naona wewe unaakili za kitoto...
Mwanaume anapambana kutafuta wewe unataka mapenzi ya kihindi...
Mapenzi muhimu mke anataka dyu dyu bwana nyie dyu dyu ndiio muhimu.
Maisha ya ndoa yawe na usawaziko kazi na migegedo sio kazi pekee
 
Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia na wanangu, tunagombana kiasi kwamba sasa hivi hata tendo la ndoa hakuna.

Si kama ananip*iga wala kunitukana, hapana, mume wangu anahudumia familia, anajali, anatoa kila kitu, huwezi kumuomba akakunyima, anafanya kazi na mimi kanifungulia biashara mara 4, lakini ilishindikana kwa sababu sikuwa na amani ya roho. Shida, mume wangu ni mtu wa kazi, hana muda na familia, yaani hana yale mahaba, huwezi amini mume wangu hajawahi kuninunulia zawadi yoyote, hajawahi, ukimuambia anakwambia hela si zipo, wewe nenda mimi ninunue. Yaani kuliko kuninunulia kitu anakupa hela!

Unaweza kusuka, anakupa hela, lakini hata kukusifia umependeza hatusifii, yaani ni majirani na watu wa nje. Rafiki zangu wakija nyumbani waninisifia, lakini yeye hata hajali na hanioneshi wivu kabisa.

Naweza kumuaga naenda nyumbani kwa mama, nikaenda hata wiki lakini hajali, hawezi kufuatilia kama nimeenda kweli au niko kwa mwanaume.

Baada ya kuona hivyo, niliamua kuchepuka makusudi ili aone wivu, ila haonyeshi tofauti, nimejaribu kumuonyesha vituko ila hajali, mpaka kuna wakati natamani kujirekodi nikiwa na mwanaume mwingine nimtumie, ila naogopa itakuwa aibu kwa ndugu zangu.

Kuna kaka niko naye, yeye ni mdogo, mimi nina miaka 42, yeye ana miaka 31, amemaliza chuo lakini hajapata kazi, niko naye kwenye mahusiano huu ni mwezi wa 6, nina furaha sana, na ananipenda, yaani mwanamke ujajaliwa mpaka unajiona malaiika, asubuhi anakutumia emoj nyingi za mapenzi, mchana ndiyo, atataka kuja, kila wakati ana muda na mimi sana.

Mimi sina kazi, na yeye hana kazi, lakini mimi na mume wangu tumejenga, tuna nyumba tano, mbili zina majina yangu na tatu zina majina yake, ambapo moja ndiyo tunaishi. Hizi zangu ni za kupangisha, na kodi nachukua mimi, mume wangu haniulizii.

Sasa ninachouliza, je, nikaachana na mume wangu, kwani tutagawana na hizi nyumba zangu? Mimi sijali kuhusu zake, kwani zangu ziko sehemu nzuri, ni yeye alijenga bila kundiandika mimi. Nataka talaka, lakini nataka kila mmoja abaki na nyumba zake, kwani mimi na huyu mwanaume niliye naye tumepanga kutengeneza BNB kwenye hizi nyumba zangu, tuwe tunasimamia wote, nataka tu mume wangu asizidai!
Hahaha
 
Samahani unajinsia gani?? Hapa ulisema hivi:

Hii kweli nimeshuhudia aisee kuna mmoja ananilalamikia hata wa kuzaa nae aisee

Na bado moderators hawafuti hii takataka, JF ya zama hizi inajiua yenyewe
 
Hili jukwaa lina chai za kutosha siku hizi.
 
Bastola yangu ndio maana inakaa karibu na mimi kila siku, hawa viumbe sio kabisa, kuna watu hawatakiwi kuishi nao kabisa
 
Hii chai hii
 
Samahani unajinsia gani?? Hapa ulisema hivi:

Hii kweli nimeshuhudia aisee kuna mmoja ananilalamikia hata wa kuzaa nae aisee

Safi Sana umemkumbusha maana ujinga wa huko Facebook wanauleta JF
 
Mashoga nayo yameanza kulalamika waziwazi...
JF sikuhizi mimi ndio maana naamua kuandika maneno makali ya laana tu mtu akafe nayo mbele...
Yaani humu JF watu wasumbufu na useless wanaotakiwa kutolewa roho ni singo maza, mashoga, madanga, wanaoishi kwa waume za dada zao, watoto wa chuo na wanawake walioachika ktk ndoa...
 
Back
Top Bottom