Ushauri wenu jamani

Ushauri wenu jamani

Kuna nyuzi ulisema upo manzese unatafuta demu ?

We jinsia gani mwenzetu?

Maake humu hizi I'd fake vurugu vurugu!
 
Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia na wanangu, tunagombana kiasi kwamba sasa hivi hata tendo la ndoa hakuna.

Si kama ananip*iga wala kunitukana, hapana, mume wangu anahudumia familia, anajali, anatoa kila kitu, huwezi kumuomba akakunyima, anafanya kazi na mimi kanifungulia biashara mara 4, lakini ilishindikana kwa sababu sikuwa na amani ya roho. Shida, mume wangu ni mtu wa kazi, hana muda na familia, yaani hana yale mahaba, huwezi amini mume wangu hajawahi kuninunulia zawadi yoyote, hajawahi, ukimuambia anakwambia hela si zipo, wewe nenda mimi ninunue. Yaani kuliko kuninunulia kitu anakupa hela!

Unaweza kusuka, anakupa hela, lakini hata kukusifia umependeza hatusifii, yaani ni majirani na watu wa nje. Rafiki zangu wakija nyumbani waninisifia, lakini yeye hata hajali na hanioneshi wivu kabisa.

Naweza kumuaga naenda nyumbani kwa mama, nikaenda hata wiki lakini hajali, hawezi kufuatilia kama nimeenda kweli au niko kwa mwanaume.

Baada ya kuona hivyo, niliamua kuchepuka makusudi ili aone wivu, ila haonyeshi tofauti, nimejaribu kumuonyesha vituko ila hajali, mpaka kuna wakati natamani kujirekodi nikiwa na mwanaume mwingine nimtumie, ila naogopa itakuwa aibu kwa ndugu zangu.

Kuna kaka niko naye, yeye ni mdogo, mimi nina miaka 42, yeye ana miaka 31, amemaliza chuo lakini hajapata kazi, niko naye kwenye mahusiano huu ni mwezi wa 6, nina furaha sana, na ananipenda, yaani mwanamke ujajaliwa mpaka unajiona malaiika, asubuhi anakutumia emoj nyingi za mapenzi, mchana ndiyo, atataka kuja, kila wakati ana muda na mimi sana.

Mimi sina kazi, na yeye hana kazi, lakini mimi na mume wangu tumejenga, tuna nyumba tano, mbili zina majina yangu na tatu zina majina yake, ambapo moja ndiyo tunaishi. Hizi zangu ni za kupangisha, na kodi nachukua mimi, mume wangu haniulizii.

Sasa ninachouliza, je, nikaachana na mume wangu, kwani tutagawana na hizi nyumba zangu? Mimi sijali kuhusu zake, kwani zangu ziko sehemu nzuri, ni yeye alijenga bila kundiandika mimi. Nataka talaka, lakini nataka kila mmoja abaki na nyumba zake, kwani mimi na huyu mwanaume niliye naye tumepanga kutengeneza BNB kwenye hizi nyumba zangu, tuwe tunasimamia wote, nataka tu mume wangu
Hujitambui kiufupi
 
Umefunguliwa biashara mara nne ndani ya miaka kumi na zote zimefilisika ?
 
Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia na wanangu, tunagombana kiasi kwamba sasa hivi hata tendo la ndoa hakuna.

Si kama ananip*iga wala kunitukana, hapana, mume wangu anahudumia familia, anajali, anatoa kila kitu, huwezi kumuomba akakunyima, anafanya kazi na mimi kanifungulia biashara mara 4, lakini ilishindikana kwa sababu sikuwa na amani ya roho. Shida, mume wangu ni mtu wa kazi, hana muda na familia, yaani hana yale mahaba, huwezi amini mume wangu hajawahi kuninunulia zawadi yoyote, hajawahi, ukimuambia anakwambia hela si zipo, wewe nenda mimi ninunue. Yaani kuliko kuninunulia kitu anakupa hela!

Unaweza kusuka, anakupa hela, lakini hata kukusifia umependeza hatusifii, yaani ni majirani na watu wa nje. Rafiki zangu wakija nyumbani waninisifia, lakini yeye hata hajali na hanioneshi wivu kabisa.

Naweza kumuaga naenda nyumbani kwa mama, nikaenda hata wiki lakini hajali, hawezi kufuatilia kama nimeenda kweli au niko kwa mwanaume.

Baada ya kuona hivyo, niliamua kuchepuka makusudi ili aone wivu, ila haonyeshi tofauti, nimejaribu kumuonyesha vituko ila hajali, mpaka kuna wakati natamani kujirekodi nikiwa na mwanaume mwingine nimtumie, ila naogopa itakuwa aibu kwa ndugu zangu.

Kuna kaka niko naye, yeye ni mdogo, mimi nina miaka 42, yeye ana miaka 31, amemaliza chuo lakini hajapata kazi, niko naye kwenye mahusiano huu ni mwezi wa 6, nina furaha sana, na ananipenda, yaani mwanamke ujajaliwa mpaka unajiona malaiika, asubuhi anakutumia emoj nyingi za mapenzi, mchana ndiyo, atataka kuja, kila wakati ana muda na mimi sana.

Mimi sina kazi, na yeye hana kazi, lakini mimi na mume wangu tumejenga, tuna nyumba tano, mbili zina majina yangu na tatu zina majina yake, ambapo moja ndiyo tunaishi. Hizi zangu ni za kupangisha, na kodi nachukua mimi, mume wangu haniulizii.

Sasa ninachouliza, je, nikaachana na mume wangu, kwani tutagawana na hizi nyumba zangu? Mimi sijali kuhusu zake, kwani zangu ziko sehemu nzuri, ni yeye alijenga bila kundiandika mimi. Nataka talaka, lakini nataka kila mmoja abaki na nyumba zake, kwani mimi na huyu mwanaume niliye naye tumepanga kutengeneza BNB kwenye hizi nyumba zangu, tuwe tunasimamia wote, nataka tu mume wangu asizidai!
Kuna wanawake wasengerema sana, kimsingi wewe ni malaya tu kama malaya wengine
 
Huyo mtoto unayetembea nae atakuja kukuliza. Na akishakuliza atachukua njia yake na wewe utabaki bibi sio bibi mshangazi uliyozeeka.

Unachotakiwa kuelewa ni kwamba umekosa pakudekea tu, ungedekea kwa mama na babaako.

Mumeo anawajibika na atakai salama wewebuta angamia kwa sababu njia unayokwenda sio njia sahihi.

Kuhusu maki anauwezo kukunyan'ganya sio nyumba zake tu, hata hela alizokupa anaweza akadai maana umexila kweli na unahonga. Na utarejea kwenu mtupu
 
Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia na wanangu, tunagombana kiasi kwamba sasa hivi hata tendo la ndoa hakuna.

Si kama ananip*iga wala kunitukana, hapana, mume wangu anahudumia familia, anajali, anatoa kila kitu, huwezi kumuomba akakunyima, anafanya kazi na mimi kanifungulia biashara mara 4, lakini ilishindikana kwa sababu sikuwa na amani ya roho. Shida, mume wangu ni mtu wa kazi, hana muda na familia, yaani hana yale mahaba, huwezi amini mume wangu hajawahi kuninunulia zawadi yoyote, hajawahi, ukimuambia anakwambia hela si zipo, wewe nenda mimi ninunue. Yaani kuliko kuninunulia kitu anakupa hela!

Unaweza kusuka, anakupa hela, lakini hata kukusifia umependeza hatusifii, yaani ni majirani na watu wa nje. Rafiki zangu wakija nyumbani waninisifia, lakini yeye hata hajali na hanioneshi wivu kabisa.

Naweza kumuaga naenda nyumbani kwa mama, nikaenda hata wiki lakini hajali, hawezi kufuatilia kama nimeenda kweli au niko kwa mwanaume.

Baada ya kuona hivyo, niliamua kuchepuka makusudi ili aone wivu, ila haonyeshi tofauti, nimejaribu kumuonyesha vituko ila hajali, mpaka kuna wakati natamani kujirekodi nikiwa na mwanaume mwingine nimtumie, ila naogopa itakuwa aibu kwa ndugu zangu.

Kuna kaka niko naye, yeye ni mdogo, mimi nina miaka 42, yeye ana miaka 31, amemaliza chuo lakini hajapata kazi, niko naye kwenye mahusiano huu ni mwezi wa 6, nina furaha sana, na ananipenda, yaani mwanamke ujajaliwa mpaka unajiona malaiika, asubuhi anakutumia emoj nyingi za mapenzi, mchana ndiyo, atataka kuja, kila wakati ana muda na mimi sana.

Mimi sina kazi, na yeye hana kazi, lakini mimi na mume wangu tumejenga, tuna nyumba tano, mbili zina majina yangu na tatu zina majina yake, ambapo moja ndiyo tunaishi. Hizi zangu ni za kupangisha, na kodi nachukua mimi, mume wangu haniulizii.

Sasa ninachouliza, je, nikaachana na mume wangu, kwani tutagawana na hizi nyumba zangu? Mimi sijali kuhusu zake, kwani zangu ziko sehemu nzuri, ni yeye alijenga bila kundiandika mimi. Nataka talaka, lakini nataka kila mmoja abaki na nyumba zake, kwani mimi na huyu mwanaume niliye naye tumepanga kutengeneza BNB kwenye hizi nyumba zangu, tuwe tunasimamia wote, nataka tu mume wangu asizidai!
Uchawi upo..
Nadhani sio akili yako hii
 
Baada ya kuona hivyo, niliamua kuchepuka makusudi ili aone wivu, ila haonyeshi tofauti, nimejaribu kumuonyesha vituko ila hajali, mpaka kuna wakati natamani kujirekodi nikiwa na mwanaume mwingine nimtumie, ila naogopa itakuwa aibu kwa ndugu zangu.
Mliosoma hui uzi vizuri huu mwandiko ni wa Mwanamke kweli au Shoga?😀😀😀
 
Duh, Wakuu wanakushauri urudi Facebook, kwakuwa hapa ni jukwaa la great thinkers. Kama unakubaliana na ushauri wao, basi nenda na andiko hili: Waefeso 5:3-4
"Lakini uasherati usitajwe miongoni mwenu kamwe, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa, kwa sababu mambo haya hayastahili miongoni mwa watakatifu wa Mungu. Wala pasiwepo mazungumzo machafu ya aibu, au maneno ya upuzi au mzaha, ambayo hayafai..."
Amina mtumishi
 
Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia na wanangu, tunagombana kiasi kwamba sasa hivi hata tendo la ndoa hakuna.

Si kama ananip*iga wala kunitukana, hapana, mume wangu anahudumia familia, anajali, anatoa kila kitu, huwezi kumuomba akakunyima, anafanya kazi na mimi kanifungulia biashara mara 4, lakini ilishindikana kwa sababu sikuwa na amani ya roho. Shida, mume wangu ni mtu wa kazi, hana muda na familia, yaani hana yale mahaba, huwezi amini mume wangu hajawahi kuninunulia zawadi yoyote, hajawahi, ukimuambia anakwambia hela si zipo, wewe nenda mimi ninunue. Yaani kuliko kuninunulia kitu anakupa hela!

Unaweza kusuka, anakupa hela, lakini hata kukusifia umependeza hatusifii, yaani ni majirani na watu wa nje. Rafiki zangu wakija nyumbani waninisifia, lakini yeye hata hajali na hanioneshi wivu kabisa.

Naweza kumuaga naenda nyumbani kwa mama, nikaenda hata wiki lakini hajali, hawezi kufuatilia kama nimeenda kweli au niko kwa mwanaume.

Baada ya kuona hivyo, niliamua kuchepuka makusudi ili aone wivu, ila haonyeshi tofauti, nimejaribu kumuonyesha vituko ila hajali, mpaka kuna wakati natamani kujirekodi nikiwa na mwanaume mwingine nimtumie, ila naogopa itakuwa aibu kwa ndugu zangu.

Kuna kaka niko naye, yeye ni mdogo, mimi nina miaka 42, yeye ana miaka 31, amemaliza chuo lakini hajapata kazi, niko naye kwenye mahusiano huu ni mwezi wa 6, nina furaha sana, na ananipenda, yaani mwanamke ujajaliwa mpaka unajiona malaiika, asubuhi anakutumia emoj nyingi za mapenzi, mchana ndiyo, atataka kuja, kila wakati ana muda na mimi sana.

Mimi sina kazi, na yeye hana kazi, lakini mimi na mume wangu tumejenga, tuna nyumba tano, mbili zina majina yangu na tatu zina majina yake, ambapo moja ndiyo tunaishi. Hizi zangu ni za kupangisha, na kodi nachukua mimi, mume wangu haniulizii.

Sasa ninachouliza, je, nikaachana na mume wangu, kwani tutagawana na hizi nyumba zangu? Mimi sijali kuhusu zake, kwani zangu ziko sehemu nzuri, ni yeye alijenga bila kundiandika mimi. Nataka talaka, lakini nataka kila mmoja abaki na nyumba zake, kwani mimi na huyu mwanaume niliye naye tumepanga kutengeneza BNB kwenye hizi nyumba zangu, tuwe tunasimamia wote, nataka tu mume wangu asizidai!
Ila wanawake bwana dah 😂 😂 😂. Kuna mwenzio huku Nampa kila kitu, Nampa mapenzi motomoto. Namnunulia zawadi, pamoja niko busy ninapo pata nafasi nawatoa out wanafurahi. Lakini bado ana vituko hatari. Ila Mungu aliye waumba anajua mwenyewe.

Anyway ushauri wangu. Usilete vituko, endelea na utulivu huo huo. Ongeza kumpenda mchepuko wako endelea naye kwa siri sana usije vujisha utakuja kujuta. Nakushauri huyo anayekufanya uwe na furaha endelea naye hivyo hivyo kimya kimya. Ingawa angalia usije kuta anakufuatilia wewe hujui.
 
Back
Top Bottom