Ushauri wenu jf nataka kununua Toyota Celica

Big jay

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
96
Reaction score
33
Wadau poleni na hongereni Kwa pilika za maisha ya hapa duniani ,. Nimekuja kwenu Kwa mara ya Kwanza niombe ushauri na mawaO yenu wwnye uzoefu wa magari Nimeetokea kuipenda Sana Toyota Kwa kuanza kumiliki kama gari yangu ya Kwanza Sasa target yangu ilikua kupata alteza lakini hapa nimekumbana na kagari Celica Toyota ya mwaka 2001 Jamaa anayo hii gari anataka kuniachia Kwa pesa kiasi Cha 4milioni tu amejipinda na Vw Toka south Africa Sasa nilitaka mnipe ushauri wenu je itanifaa kwa kuhudumia kwani sijajua spare Zake na service zake zinakwendaje

Nb sijawahi kumiliki gari ndio hii nataka pia no mtu wa kipato Cha kawaida Kwa mwezi natengeneza 500000/= kama akiba na pia natoka sipo dsm naishi nje ya Dan
Nawasilisha
 
Gari ya kizamani hata hivyo.....jaribu kuangalia milage yake imeenda km ngapi pia tafuta fundi wa ukweli aikague
 
Mimi naipenda sana celica ina umbo linalonivutia sana.
 
Chukua injini zake hazisumbui na mafuta inatumia kawaida zinazotumia 3S na 1ZZ.

Kama una familia itakuwa usumbufu,maana Ina milango 2 watu wanaoingia nyuma lazima siti ya pembeni ivutwe.
 
Unajikuta kama unaendesha Lambogrin vile,hahahaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…