Big jay
Member
- Mar 14, 2013
- 96
- 33
Wadau poleni na hongereni Kwa pilika za maisha ya hapa duniani ,. Nimekuja kwenu Kwa mara ya Kwanza niombe ushauri na mawaO yenu wwnye uzoefu wa magari Nimeetokea kuipenda Sana Toyota Kwa kuanza kumiliki kama gari yangu ya Kwanza Sasa target yangu ilikua kupata alteza lakini hapa nimekumbana na kagari Celica Toyota ya mwaka 2001 Jamaa anayo hii gari anataka kuniachia Kwa pesa kiasi Cha 4milioni tu amejipinda na Vw Toka south Africa Sasa nilitaka mnipe ushauri wenu je itanifaa kwa kuhudumia kwani sijajua spare Zake na service zake zinakwendaje
Nb sijawahi kumiliki gari ndio hii nataka pia no mtu wa kipato Cha kawaida Kwa mwezi natengeneza 500000/= kama akiba na pia natoka sipo dsm naishi nje ya Dan
Nawasilisha
Nb sijawahi kumiliki gari ndio hii nataka pia no mtu wa kipato Cha kawaida Kwa mwezi natengeneza 500000/= kama akiba na pia natoka sipo dsm naishi nje ya Dan
Nawasilisha