Ushauri wenu juu ya kozi hii ya kijana wangu!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma.

Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake.

Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake katika kumkomboa kijana huyu na changamoto za kimaisha upoje?

Ahsanteni
 
Kijana wako anakipaji gani?? Uchoraji, Uchongaji, muziki, uchezaji, uigizaji?

Nnachojua Leonardo da Vinci ni moja ya visual artists maarufu duniani.
 
mh, hajawahi kuonyesha kipaji chochote kati ya hivyo ingawa kwa mtazamo wangu kwenye maigizo kidogo anaweza 'kulazimishwa' kuingia labda (maana ni mtu mwenye aibu sana)
 
Inabidi uifuatilie hiyo taaluma kiundani kisha ukae nae akwambie interests zake.. muda wa kubadili mambo bado upo.
 
kama hana kipaji cha sanaa na wala hana ndoto za sanaa sio vizur kubet kweny maisha kama inawezekana kubadili badilisha.
maisha n kuplan usije juta mbeleni.
hakikisha na mtoto anataka nn na scan environment changes na opportunities.
 
Mpeleke VETA kuna kozi nyingi tu za kumwezesha ajiajiri au aajiriwe.
Mfano. Taasisi za maji nyingi bado zinawaajiri mafundi Bomba wanaomaliza Veta kozi ya ufundi bomba ( Plumbing)
Kuna kozi za ujenzi, umeme, ushonaji nguo, viatu, kapeti nk
Ni vizuri amalize japo form 4.
 
ila siku hzi tumekuwa tukilaumu wizara bila kuangalia watoto wetu waliweka uchaguzi gani wenyw .
kuna mtindo umeweka chaguzi nying usiyo ipenda au kufuata mkumbo umeweka mwisho alafu ndio hy wanakuchaguli alafu unakuja kulalamika.
 
ahsante sana!
 
ni kweli hiyo ipo pia ila huyu hakuchagua kabisa hayo mambo
 
Mpeleke VETA kuna kozi nyingi tu za kumwezesha ajiajiri au aajiriwe.
Mfano. Taasisi za maji nyingi bado zinawaajiri mafundi Bomba wanaomaliza Veta kozi ya ufundi bomba ( Plumbing)
Kuna kozi za ujenzi, umeme, ushonaji nguo, viatu, kapeti nk
Ni vizuri amalize japo form 4.
ahsante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom