ndo hivyo mkuu?!!!!Barnaba
mh, hajawahi kuonyesha kipaji chochote kati ya hivyo ingawa kwa mtazamo wangu kwenye maigizo kidogo anaweza 'kulazimishwa' kuingia labda (maana ni mtu mwenye aibu sana)Kijana wako anakipaji gani?? Uchoraji, Uchongaji, muziki, uchezaji, uigizaji?
Nnachojua Leonardo da Vinci ni moja ya visual artists maarufu duniani.
Inabidi uifuatilie hiyo taaluma kiundani kisha ukae nae akwambie interests zake.. muda wa kubadili mambo bado upo.mh, hajawahi kuonyesha kipaji chochote kati ya hivyo ingawa kwa mtazamo wangu kwenye maigizo kidogo anaweza 'kulazimishwa' kuingia labda (maana ni mtu mwenye aibu sana)
shukraniInabidi uifuatilie hiyo taaluma kiundani kisha ukae nae akwambie interests zake.. muda wa kubadili mambo bado upo.
ahsante sana!kama hana kipaji cha sanaa na wala hana ndoto za sanaa sio vizur kubet kweny maisha kama inawezekana kubadili badilisha.
maisha n kuplan usije juta mbeleni.
hakikisha na mtoto anataka nn na scan environment changes na opportunities.
ni kweli hiyo ipo pia ila huyu hakuchagua kabisa hayo mamboila siku hzi tumekuwa tukilaumu wizara bila kuangalia watoto wetu waliweka uchaguzi gani wenyw .
kuna mtindo umeweka chaguzi nying usiyo ipenda au kufuata mkumbo umeweka mwisho alafu ndio hy wanakuchaguli alafu unakuja kulalamika.
ahsante kwa ushauriMpeleke VETA kuna kozi nyingi tu za kumwezesha ajiajiri au aajiriwe.
Mfano. Taasisi za maji nyingi bado zinawaajiri mafundi Bomba wanaomaliza Veta kozi ya ufundi bomba ( Plumbing)
Kuna kozi za ujenzi, umeme, ushonaji nguo, viatu, kapeti nk
Ni vizuri amalize japo form 4.