Ushauri wenu juu ya kozi hii ya kijana wangu!

Kuna Performing Arts (Sanaa ya maigizo au maonesho)
Kuna Visual Arts (Sanaa ya uchoraji)

Hiyo Performing and Vusal Arts siifahamu...
 
Kuna Performing Arts (Sanaa ya maigizo au maonesho)
Kuna Visual Arts (Sanaa ya uchoraji)

Hiyo Performing and Vusal Arts siifahamu...
basi ndiyo aliyopangiwa mkuu (imeandikwa hivyo).

je, ulipaji wake hivyo vitu, kwa ufahamu wako, upoje kiongozi katika suala zima la kuajiriwa na kujiajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…