Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Hawa jamaa wapo huku social media nyingine x,Facebook, instagram wanakwenda kwa Jina la dinya smart wanauza nguo kali vibaya mno (na we unaweza kupitia huko social media accounts zao ujionee ).
Baada ya kumpasua muhindi jana nataka ning'arishe kabati langu la nguo kwa kupunguza madekio kadhaa, sasa ndo nikaamua nije kwenu kuulizia je ni kweli wapo au ndo wapigaji wa mitandaoni.
Baada ya kumpasua muhindi jana nataka ning'arishe kabati langu la nguo kwa kupunguza madekio kadhaa, sasa ndo nikaamua nije kwenu kuulizia je ni kweli wapo au ndo wapigaji wa mitandaoni.