Ushauri wenu kuhusu jina nzuri la mtoto wa kiume

Ingependeza sana machoni pa bwana ikiwa utampa huyo mtoto jina la "CORONA"
maana amezaliwa kipindi cha CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hauna kabila? Hamna majina yenye maana nzuri ya kumjenga mwanao ya kikabila lenu?? Kwa nini uendekeze utumwa kwa wazungu na waarabu wa kutafuta majina ambayo hata maana yake huyajui??


Waafrika tunaanzia hapa kupotea[emoji17][emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ... au basi tuache kwanza

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…