Soma dogo kazi zinazohusu mambo ya mazingira zipo. Kama ujuavyo, kwa sheria zilizopo, mwekezaji wa kitu chochote chenye kusadikiwa kuathiri mazingira,hatorohusiwa kuwekeza mpaka awe amefanya Enviromental Impact Assessment. Hivyo basi, kwa wimbi kubwa la wawekezaji Tanzania, ni wazi kuwa kazi za kutathmini, kupanga na kutunza mazingira zipo, ukiachilia kwenye NGO n.k