Ushauri wenu kwa course hii

Ushauri wenu kwa course hii

saady

New Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya.
Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya Enviromental Planning and Management (2013/2014). Kwa wale ambao wameshasoma au kufahamu vizuri, naomba kunipa ushauri na maono yenu kwa mdogo wenu wakati nitapojiunga rasmi.
Nawasilisha.
 
Soma dogo kazi zinazohusu mambo ya mazingira zipo. Kama ujuavyo, kwa sheria zilizopo, mwekezaji wa kitu chochote chenye kusadikiwa kuathiri mazingira,hatorohusiwa kuwekeza mpaka awe amefanya Enviromental Impact Assessment. Hivyo basi, kwa wimbi kubwa la wawekezaji Tanzania, ni wazi kuwa kazi za kutathmini, kupanga na kutunza mazingira zipo, ukiachilia kwenye NGO n.k
 
Bora hata ukasomee ualimu!hyo kozi haina future.over
 
Back
Top Bottom