Ushauri wenu kwa huyu binti

Kwa nini mkuu nawe ulibadilisha gia angani wakati mwanzoni ulitangaza nia ?
 
Ulishampa tamaa mwenzako ulitegemea nn kwa wadada zetu hawa wa kibongo.
 
Huyo umri utakuwa unamtupa mkono so anataka awahi kabla haijawa jioni kabisa.
 
mungu au Mungu? sijakuelewa apo chief
 
Huu ndio uhalisia ila sijajua ni kwanini. Mwanamke akinikubali haraka huwa na kuwa na wasiwasi mkubwa ila akinizungusha ikifika hatua nikasema basi huwa sigeuki nyuma. Mungu nisaidie.
 
10% acceleration rate itafika 100. Unasema wewe ndie ulimtafuta? Lengo? Uko wapi?Je umeolewa? Sasa mkuu twambie lengo la maswali yako ilikuwa nn?
 
10% acceleration rate itafika 100. Unasema wewe ndie ulimtafuta? Lengo? Uko wapi?Je umeolewa? Sasa mkuu twambie lengo la maswali yako ilikuwa nn?
Mimi naoa, siyo kuolewa, lengo lilikuwa kumuoa, nilighairi baada yakuona kama vile namlazimisha
 
Huu ndio uhalisia ila sijajua ni kwanini. Mwanamke akinikubali haraka huwa na kuwa na wasiwasi mkubwa ila akinizungusha ikifika hatua nikasema basi huwa sigeuki nyuma. Mungu nisaidie.
Mnashangaza sana.
 
Hebu kuwa kwanza mkuuuu pambana na maisha bado una uwanja mpana
 
Ulimlaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…