Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
upo region gani ndugu?Habari za majukumu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Nimepata wazo la haraka haraka kufanya hivyo baada ya kupiga stori mbili tatu na mtu ambae amenambia nitafute frem ya kuja kufanya hivyo.
Alienipa wazo la kufanya hivyo hana uzoefu wa kazi hiyo, ila kanambia linalipa sana.
Nataka nianze na mtaji wa million 2.5 ninachohitaji kutoka kwenu munambie changamoto zake zinakuwaje.
Faida na hasara kwa ujumla inakuaje kwa wale wazoefu nawaomba mnisaidie hili.
Karibuni.
Nataka nije nianzishe Dar na pia nikipata uhakika na kuridhika na hilo ntakuja kutafuta mtu wa kumuajiri hapa hapa.upo region gani ndugu?