Ushauri wenu ndugu zangu, kwenye mkasa huu ulio mbele yangu

Ushauri wenu ndugu zangu, kwenye mkasa huu ulio mbele yangu

Alichokosea uyo dem ni kukuambia ana mimba wakati uwezo wa kuitoa bila wewe kujua anao kitu hakujua ni kua wanaume huwa hatusamehe kwenye mambo ya mapenzi nadhani asingekwambia kama ambavyo hakukwambia mahusiano yake na hiyo njemba(baba wa marehem) mngeendelea na ungemuoa wakati bado unampenda kama mwanzo
Kwa hapo bro piga chini uyo dem hutakuja kumuamini tena na ukimuoa utakua unashinikizwa na akili yako tu ila moyo wako haumtaki mpaka hapo
 
Mzee baba, Kama unaipenda roho yako fanya haraka uoe mwanamke mwingine ambae mko nae karibu hapo unapofanya kazi. Hayo mambo ya mpenzi wangu yupo chuo sijui nini na nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka hapo huna mpenzi mzee baba. We funga vilago anza safari mpya.

Otherwise utaishia kujinyonga. Muache haraka huyo dem.
Well said ..noted
 
Back
Top Bottom