Ushauri wenu ndugu zangu, kwenye mkasa huu ulio mbele yangu

Alichokosea uyo dem ni kukuambia ana mimba wakati uwezo wa kuitoa bila wewe kujua anao kitu hakujua ni kua wanaume huwa hatusamehe kwenye mambo ya mapenzi nadhani asingekwambia kama ambavyo hakukwambia mahusiano yake na hiyo njemba(baba wa marehem) mngeendelea na ungemuoa wakati bado unampenda kama mwanzo
Kwa hapo bro piga chini uyo dem hutakuja kumuamini tena na ukimuoa utakua unashinikizwa na akili yako tu ila moyo wako haumtaki mpaka hapo
 
Well said ..noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…