Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 684 Sep 16, 2013 #21 Elizabeth Dominic said: Maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko cha asali na limao vijiko vya kulia viwili kila asubuhi kabla haujakula Click to expand... bila kusahau mdalasini
Elizabeth Dominic said: Maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko cha asali na limao vijiko vya kulia viwili kila asubuhi kabla haujakula Click to expand... bila kusahau mdalasini
Nchaby JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 797 Reaction score 259 Sep 17, 2013 #22 rehehizy said: Mimi ni binti nina tatizo tumbo langu linakuwa kubwa mpaka mtu anaweza jua nina ujauzito naomb mniambie nifanye kitu gani? Hili liweze kupungua sababu linaharibu umbo langu nisaidieni? Click to expand... Nenda gym utaelekezwa mazoezi ya kufanya ili tumbo lako lipungue.
rehehizy said: Mimi ni binti nina tatizo tumbo langu linakuwa kubwa mpaka mtu anaweza jua nina ujauzito naomb mniambie nifanye kitu gani? Hili liweze kupungua sababu linaharibu umbo langu nisaidieni? Click to expand... Nenda gym utaelekezwa mazoezi ya kufanya ili tumbo lako lipungue.
itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,570 Sep 17, 2013 #23 Nitafute...
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Sep 17, 2013 #24 watu8 said: Okay I see...binafsi huwa naamini katika mazoezi maana kwa upande mwingine yana faida kiafya. Click to expand... mazoezi unafanyaga saa ngapi best
watu8 said: Okay I see...binafsi huwa naamini katika mazoezi maana kwa upande mwingine yana faida kiafya. Click to expand... mazoezi unafanyaga saa ngapi best
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Sep 17, 2013 #25 Heaven on earth said: mazoezi unafanyaga saa ngapi best Click to expand... Niliacha kufanya kitambo...jijini ratiba ngumu!!!
Heaven on earth said: mazoezi unafanyaga saa ngapi best Click to expand... Niliacha kufanya kitambo...jijini ratiba ngumu!!!