Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
Maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko cha asali na limao vijiko vya kulia viwili kila asubuhi kabla haujakula
bila kusahau mdalasini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko cha asali na limao vijiko vya kulia viwili kila asubuhi kabla haujakula
Mimi ni binti nina tatizo tumbo langu linakuwa kubwa mpaka mtu anaweza jua nina ujauzito naomb mniambie nifanye kitu gani? Hili liweze kupungua sababu linaharibu umbo langu nisaidieni?
Okay I see...binafsi huwa naamini katika mazoezi maana kwa upande mwingine yana faida kiafya.
mazoezi unafanyaga saa ngapi best