Nunua mbuzi minadani (Fukayosi) kisha uza Bagamoyo mjini kwenye bar za hapo au anzisha kijiwe chako cha mbuzi choma.utanikumbuka siku
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kila wazo linahitaji utafiti, kabla ya utekelezaji, hivyo usihofu kuhusu hiloBiashara inataka ianze na mawazo yako ukipewa mawazo ya biashara ya kufanya ikifel utasema labda nilipewa wazo baya angalia nn unakiweza kikimudu
Sent using Jamii Forums mobile app