raiswenu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2018
- 848
- 1,535
Hii ni kutokana na kufungwa vyuo nipo tu hapa Bagamoyo nikisubiria vyuo vifunguliwe ingawaje sina uhakika kama itakuwa mapema.
Nina kama 500,000/= kwa wazoefu wa biashara na wenyeji wa maeneo haya, ni biashara gani naweza kufanya kwa kutumia hicho kiasi?
Ushauri wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina kama 500,000/= kwa wazoefu wa biashara na wenyeji wa maeneo haya, ni biashara gani naweza kufanya kwa kutumia hicho kiasi?
Ushauri wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app