Ushauri Wenu Unahitajika : Kuna Mpenzi wangu anatuchanganya mimi na jamaa yangu

Kamata Iyo Mbunye Ichape Hadi Inukie Harufu ya Mishikaki. Unapendaje Malaya Mkuu?!
 
Jana sikanipigia simu yule malaya , nimemwambia asiendelee kunisumbua ,taarifa zake ninazo zakugongwa kwahiyo asinichukulie mi bwege kwamba sijui kitu , alichonijibu baada ya kumwambia Salio limekata tangu hapo hajanitumia sms wala kunipigia daah nimefurahi sana .

Kiukweli Ukweli humweka mtu huru , ukifikiria itakuwaje nikuchelewa .
 
Nimejuta sikujua ila ashukuliwe MUNGU nimemuacha rasmi kwa kumweleza ukweli wamoyoni .
 
Simhitaji mwanamke malaya sema nataka nimuache bila ya yeye kujua ,nipeni mbinu.
Unataka kumfurahisha nani? Mbona huwa mnajipa kazi zisizo za lazima? Mtu kakusaliti wewe unawaza kumwacha kistaarabu yeye anaujua ustaarabu?
 
Mkuu ubarikiwe kwa ushauri wako mpaka sasa nimemuacha na kiulizo juu !?? Maana simpigii simu wala kumjulia khali wala kumhitaji kwa namna yoyote ile .
vizuri sana. watu kama hao huwa wanaelewa zaidi ukikaa kimya kuliko ukiongea...yani ukimya wako unampa fursa ya kujiuliza na kujijibu yeye mwenyewe 😎
 
Hata mimi ilishawahi kunitokea jambo nililolifanya ni kumla dada yake.
 
Sema nini wanawake.. tukipata wanaume wanaojielewa tuwashikilie

Sasa mfano kama huyu mleta mada yeye kwenye wasiojielewa
Na wanawake tunawatesa sana nyie wanaume msio jielewa.. mwanzoni tu mwa mahusiano tunajuaga mwanaume huyu uende nae vipi

Sikutukani ila nakwambia ukweli wewe ni kati ya wanaume wapumbavu

Umeshajua mwanamke amekucheat tena na mtu wa karibu na wewe unauliza tena mbinu za kumuacha

Kwani siku hizi mbinu za kuacha zimepungua au zimesahaulika yaani unataka kuniambia wewe Hujui namna ya kumuacha huyo binti

Nilifikiri utataka ushaurii namna ya kukabiliana na maumivu ya kusalitiwa kumbe umekuja kuomba mbinu za kumuacha mwanamke

Kwa taarifa yako mwanamke akiamua kukucheat tena na rafiki yako maana yake amejiandaa kwa lolote na huenda Alisha kuacha muda mrefu anakutafutia sababu

Ushaurii wangu utaupata kupitia nilioandika
 
Una lakuongezea au umeishia hapa ? Ungesoma mara mbili ungenielewa kwa undani zaidi , swala ni kutuchanganya mimi na jamaa ambaye nafanya nae kazi ofisi moja , niumalize vp mgogoro huu ? Kwanza ninamuelewa vema huyo mwanamke akili yake nimchonganishi wa mambo kwa kipindi ambacho nimekaa nae kwenye mahusiano I KNOW HER VERY WELL SO I CAME HERE TO FIND A BEST DECISION ,HOW I CAN MAKE A GOOD DECISION WITHOUT AFFECT OUR FRIENDSHIP WITH MY EMPLOYEE. sasa wewe unakuja na majibu yakuniita mpumbavu anyway Ahsante.

KINGINE NAOMBA UELEWE KWAMBA SIYO KWAMBA NIMESHINDWA KUMUACHA , NIMEMUACHA KWA NJIA AMBAYO ITAMFANYA AWE BUSY NA MAHUSIANO MAPYA KULIKO KUTUCHANGANYA.
 
vizuri sana. watu kama hao huwa wanaelewa zaidi ukikaa kimya kuliko ukiongea...yani ukimya wako unampa fursa ya kujiuliza na kujijibu yeye mwenyewe 😎
Yes Buddy 🤣🤣, She must choose to leave me alone .
 
 
Acha kukaza fuvu kijana.. haina haja ya wewe kujielezea. Kuachana hakunaga sababu ya maana hilo suala atalielezea yeye kwa bwana wake.. kwani ukimwambia mahusiano yamefika mwisho ataenda kukusemelea kwa huyo unaemwita rafiki yako

Yaani unaangaika kutaka urafiki na mtu alietembea na mtu wako na inawezekana alikuwa akijua kama una date na huyo binti wakakuzunguka na sasa hivi wanakuzomea

Acha kujielezea haya to kusaidia we vunga kausha

Aiseee useless kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…