Ushauri Wenu Unahitajika : Kuna Mpenzi wangu anatuchanganya mimi na jamaa yangu

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,936
Reaction score
3,054
Habarini za usiku ndugu zanguni ?

Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake nikajisemea moyoni hapa nimepata ngoja nitulie , basi nikatulia , ila baadae kuna jamaa ambaye nipo nae kazini akasema amepata demu mzuri na yuko kwenye follow up zakugonga kwa ari na mali , basi nikamuuliza ni demu gani huyo ?

Akaniambia anaitwa ASIAH OMARY na akaniosha mpaka picha zake ,muda mwingine akipiga simu anaongelea karibu yangu basi nikawa nimemtambua huyo demu ni mtu wangu mimi ,nikaanza kufuatilia kama atamla, basi buana siku moja nipo zamu ya asubuhi ,jamaa amekuja kunitoa mida ya jioni kazini akaniambia daah nimefanikiwa kusex , asee niliumia,nikawaza nikifanya maamuzi yangu binafsi huwenda atajua kitu ndani yake na bahati mbaya sana yule demu ashaganiona nikiwa na rafiki yangu huyo na kaamua kutembea nae .

Je nitumie mbinu gani kumuacha bila ya yeye kujua kwamba maana amekuja mara mbili anajilaza kitandani lkn sina mood nae ,najaribu kumweka sawa kwamba siko poa anatoka kachukia .

Nisaidieni majibu yaliyonyooka ili ninapofanya maamuzi yasiathiri urafiki wangu na jamaa ukaharibika , nataka ubakie pale pale , maana jamaa yangu pia sikuwa kumwambia kama huyo demu ni mtu wangu ,niliweka siri tangu wana mahusiano nae
 
Huo ni urithi wetu mkuu acha kuumia we endelea kula kimya kimya ila usihudumie
 
Back
Top Bottom