Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Huyo ni mgeni katika mapenzi atachapiwa sana si hana msimamo mpama jf imwambie nini cha kufanya
Angefanya hivyo kwa kila mwanaume anaye mtongoza huyo mwanamke wake?Huyo sio rafiki/jamaa yako, mimi ningemwambia huyo n shemeji yako aache uo mpango wa kumfuatilia. Na kwenye hilo huwa tunaheshimiana.
Unaogopa nini kumwacha na akajua umemwacha, mbona yeye hakuogopa kuliwa na jamaa yako.Simhitaji mwanamke malaya sema nataka nimuache bila ya yeye kujua ,nipeni mbinu.
Mwanaume hawezi kuomba ushauri wa kipuuzi kama huu.....huyu bad mvulana ambaye bado hana maamuzi juu ya hisia zake na akili yake.....Unachanganywa harafu unaendelea kujiuliza kutoka kazi ipo pisi za kumwaga hizi bado unalia na pisi moja isiyojielewa..
Ukiona mtu anaweza kuomba ushauri juu ya jambo lolote jua anajitambua kama pana sehemu alikosea aende sawa haiangalii umri.Mwanaume hawezi kuomba ushauri wa kipuuzi kama huu.....huyu bad mvulana ambaye bado hana maamuzi juu ya hisia zake na akili yake.....
No woman no party, no party no womanHabarini za usiku ndugu zanguni ?
Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake nikajisemea moyoni hapa nimepata ngoja nitulie , basi nikatulia , ila baadae kuna jamaa ambaye nipo nae kazini akasema amepata demu mzuri na yuko kwenye follow up zakugonga kwa ari na mali , basi nikamuuliza ni demu gani huyo ?
Akaniambia anaitwa ASIAH OMARY na akaniosha mpaka picha zake ,muda mwingine akipiga simu anaongelea karibu yangu basi nikawa nimemtambua huyo demu ni mtu wangu mimi ,nikaanza kufuatilia kama atamla, basi buana siku moja nipo zamu ya asubuhi ,jamaa amekuja kunitoa mida ya jioni kazini akaniambia daah nimefanikiwa kusex , asee niliumia,nikawaza nikifanya maamuzi yangu binafsi huwenda atajua kitu ndani yake na bahati mbaya sana yule demu ashaganiona nikiwa na rafiki yangu huyo na kaamua kutembea nae .
Je nitumie mbinu gani kumuacha bila ya yeye kujua kwamba maana amekuja mara mbili anajilaza kitandani lkn sina mood nae ,najaribu kumweka sawa kwamba siko poa anatoka kachukia .
Nisaidieni majibu yaliyonyooka ili ninapofanya maamuzi yasiathiri urafiki wangu na jamaa ukaharibika , nataka ubakie pale pale , maana jamaa yangu pia sikuwa kumwambia kama huyo demu ni mtu wangu ,niliweka siri tangu wana mahusiano nae
Ok ushauri wangu ni huu:je umethibitisha kuwa kweli huyo demu wako kaliwa?kama ameliwa basi mfaye huyo demu umwambie kuwa huwezi kuendelea nae kwani kaliwa na na rafiki yako na alikudanganya kuwa hataliwa.Habarini za usiku ndugu zanguni ?
Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake nikajisemea moyoni hapa nimepata ngoja nitulie , basi nikatulia , ila baadae kuna jamaa ambaye nipo nae kazini akasema amepata demu mzuri na yuko kwenye follow up zakugonga kwa ari na mali , basi nikamuuliza ni demu gani huyo ?
Akaniambia anaitwa ASIAH OMARY na akaniosha mpaka picha zake ,muda mwingine akipiga simu anaongelea karibu yangu basi nikawa nimemtambua huyo demu ni mtu wangu mimi ,nikaanza kufuatilia kama atamla, basi buana siku moja nipo zamu ya asubuhi ,jamaa amekuja kunitoa mida ya jioni kazini akaniambia daah nimefanikiwa kusex , asee niliumia,nikawaza nikifanya maamuzi yangu binafsi huwenda atajua kitu ndani yake na bahati mbaya sana yule demu ashaganiona nikiwa na rafiki yangu huyo na kaamua kutembea nae .
Je nitumie mbinu gani kumuacha bila ya yeye kujua kwamba maana amekuja mara mbili anajilaza kitandani lkn sina mood nae ,najaribu kumweka sawa kwamba siko poa anatoka kachukia .
Nisaidieni majibu yaliyonyooka ili ninapofanya maamuzi yasiathiri urafiki wangu na jamaa ukaharibika , nataka ubakie pale pale , maana jamaa yangu pia sikuwa kumwambia kama huyo demu ni mtu wangu ,niliweka siri tangu wana mahusiano nae
kiswahili sanifu ni jinsi ya kiume sio jinsia ya kiumeKuna mambo yanatia aibu sana. Hivi huwa mnashindwaje kusolve problems ndogo ndogo kama hizi ambazo hata mtoto wa darasa la saba naamini anaweza kutatua?
Hii story yako ilitakiwa uwe tayari umeshachukua hatua badala yake unaomba ushauri cha kufanya, seriously?
Tuseme tu ukweli hii jinsia ya kiume ya kizazi hiki inashangaza.
Ushauri wangu ni huu: usimuache huyo dada kamtolee mahari haraka umuoe kabla jamaa yako hajakuwahi.
Wewe ni mgeni sana malaya? Hakuna malaya wa peke yako.Habarini za usiku ndugu zanguni ?
Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake nikajisemea moyoni hapa nimepata ngoja nitulie , basi nikatulia , ila baadae kuna jamaa ambaye nipo nae kazini akasema amepata demu mzuri na yuko kwenye follow up zakugonga kwa ari na mali , basi nikamuuliza ni demu gani huyo ?
Akaniambia anaitwa ASIAH OMARY na akaniosha mpaka picha zake ,muda mwingine akipiga simu anaongelea karibu yangu basi nikawa nimemtambua huyo demu ni mtu wangu mimi ,nikaanza kufuatilia kama atamla, basi buana siku moja nipo zamu ya asubuhi ,jamaa amekuja kunitoa mida ya jioni kazini akaniambia daah nimefanikiwa kusex , asee niliumia,nikawaza nikifanya maamuzi yangu binafsi huwenda atajua kitu ndani yake na bahati mbaya sana yule demu ashaganiona nikiwa na rafiki yangu huyo na kaamua kutembea nae .
Je nitumie mbinu gani kumuacha bila ya yeye kujua kwamba maana amekuja mara mbili anajilaza kitandani lkn sina mood nae ,najaribu kumweka sawa kwamba siko poa anatoka kachukia .
Nisaidieni majibu yaliyonyooka ili ninapofanya maamuzi yasiathiri urafiki wangu na jamaa ukaharibika , nataka ubakie pale pale , maana jamaa yangu pia sikuwa kumwambia kama huyo demu ni mtu wangu ,niliweka siri tangu wana mahusiano nae
Sawa mwalimu.kiswahili sanifu ni jinsi ya kiume sio jinsia ya kiume