Ushauri Wenu Unahitajika : Kuna Mpenzi wangu anatuchanganya mimi na jamaa yangu

Habarini za usiku ndugu zanguni ?

Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake nikajisemea moyoni hapa nimepata ngoja nitulie , basi nikatulia , ila baadae kuna jamaa ambaye nipo nae kazini akasema amepata demu mzuri na yuko kwenye follow up zakugonga kwa ari na mali , basi nikamuuliza ni demu gani huyo ?

Akaniambia anaitwa ASIAH OMARY na akaniosha mpaka picha zake ,muda mwingine akipiga simu anaongelea karibu yangu basi nikawa nimemtambua huyo demu ni mtu wangu mimi ,nikaanza kufuatilia kama atamla, basi buana siku moja nipo zamu ya asubuhi ,jamaa amekuja kunitoa mida ya jioni kazini akaniambia daah nimefanikiwa kusex , asee niliumia,nikawaza nikifanya maamuzi yangu binafsi huwenda atajua kitu ndani yake na bahati mbaya sana yule demu ashaganiona nikiwa na rafiki yangu huyo na kaamua kutembea nae .

Je nitumie mbinu gani kumuacha bila ya yeye kujua kwamba maana amekuja mara mbili anajilaza kitandani lkn sina mood nae ,najaribu kumweka sawa kwamba siko poa anatoka kachukia .

Nisaidieni majibu yaliyonyooka ili ninapofanya maamuzi yasiathiri urafiki wangu na jamaa ukaharibika , nataka ubakie pale pale , maana jamaa yangu pia sikuwa kumwambia kama huyo demu ni mtu wangu ,niliweka siri tangu wana mahusiano nae
umuache bila kujua umekuwa Yusufu na huyo bikira Mariamu? Muite umpe makavu usepe
 
Huo ni urithi wetu mkuu acha kuumia we endelea kula kimya kimya ila usihudumie
Dunia hii magonjwa ni mengi ndugu , kabla yakushiriki nae tulipima lkn kwa umalaya wake nahisi kuna kuangukia pua , sipo tayari kizuri nimepata ushauri poa sana.
 
umuache bila kujua umekuwa Yusufu na huyo bikira Mariamu? Muite umpe makavu usepe
Nikimpa makavu huku kazini nitaharibu ukaribu wangu na jamaa yangu , ni heri nimuachie shamba aendelee kulima nami nibaki na amani yangu kwa Sababu huyo siyo mke wangu .
 
Kah! kwahiyo unataka jamaa aangamie huyo mwanamke ni malaya, usijekuta ana mwingine, ukajiona umeokota dodo, kumbe dodo ni wewe umeokotwa
 
Habarini za usiku ndugu zanguni ?

Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake nikajisemea moyoni hapa nimepata ngoja nitulie , basi nikatulia , ila baadae kuna jamaa ambaye nipo nae kazini akasema amepata demu mzuri na yuko kwenye follow up zakugonga kwa ari na mali , basi nikamuuliza ni demu gani huyo ?

Akaniambia anaitwa ASIAH OMARY na akaniosha mpaka picha zake ,muda mwingine akipiga simu anaongelea karibu yangu basi nikawa nimemtambua huyo demu ni mtu wangu mimi ,nikaanza kufuatilia kama atamla, basi buana siku moja nipo zamu ya asubuhi ,jamaa amekuja kunitoa mida ya jioni kazini akaniambia daah nimefanikiwa kusex , asee niliumia,nikawaza nikifanya maamuzi yangu binafsi huwenda atajua kitu ndani yake na bahati mbaya sana yule demu ashaganiona nikiwa na rafiki yangu huyo na kaamua kutembea nae .

Je nitumie mbinu gani kumuacha bila ya yeye kujua kwamba maana amekuja mara mbili anajilaza kitandani lkn sina mood nae ,najaribu kumweka sawa kwamba siko poa anatoka kachukia .

Nisaidieni majibu yaliyonyooka ili ninapofanya maamuzi yasiathiri urafiki wangu na jamaa ukaharibika , nataka ubakie pale pale , maana jamaa yangu pia sikuwa kumwambia kama huyo demu ni mtu wangu ,niliweka siri tangu wana mahusiano nae
Kwani ukimuacha demu ataenda kumwambia jamaa yako umemuacha? Walivyoanza mahusiano walikushirikisha? Chapa nyama chini mkatae.
 
Unaweza kumuambia tu mahusiano tuliyoanzisha mimi na wewe naomba yaishe kuanzia leo simple tu. Kama ambavyo wanaume wakati mngine wanavyoachwa kikatili 😂

Ukisema anazidi kuja gheto kuna siku utalala nae tu na hapo ndio ugomvi na mshkaji wako unaweza kuanza itafika sehemu atajua.
 
Habarini za usiku ndugu zanguni ?

Sitaki niwachoshe , Mimi ninafanya kazi sector fulani , Niliamua kuingia mahusiano na binti mmoja wa mtaani ninapoishi , mwanzoni aliniambia hana mtu mwingine kabisa na akitokea hawezi kumkubali sababu ananipenda mimi ,kiukweli niliupenda msimamo wake nikajisemea moyoni hapa nimepata ngoja nitulie , basi nikatulia , ila baadae kuna jamaa ambaye nipo nae kazini akasema amepata demu mzuri na yuko kwenye follow up zakugonga kwa ari na mali , basi nikamuuliza ni demu gani huyo ?

Akaniambia anaitwa ASIAH OMARY na akaniosha mpaka picha zake ,muda mwingine akipiga simu anaongelea karibu yangu basi nikawa nimemtambua huyo demu ni mtu wangu mimi ,nikaanza kufuatilia kama atamla, basi buana siku moja nipo zamu ya asubuhi ,jamaa amekuja kunitoa mida ya jioni kazini akaniambia daah nimefanikiwa kusex , asee niliumia,nikawaza nikifanya maamuzi yangu binafsi huwenda atajua kitu ndani yake na bahati mbaya sana yule demu ashaganiona nikiwa na rafiki yangu huyo na kaamua kutembea nae .

Je nitumie mbinu gani kumuacha bila ya yeye kujua kwamba maana amekuja mara mbili anajilaza kitandani lkn sina mood nae ,najaribu kumweka sawa kwamba siko poa anatoka kachukia .

Nisaidieni majibu yaliyonyooka ili ninapofanya maamuzi yasiathiri urafiki wangu na jamaa ukaharibika , nataka ubakie pale pale , maana jamaa yangu pia sikuwa kumwambia kama huyo demu ni mtu wangu ,niliweka siri tangu wana mahusiano nae
Kwa huu uandishi wako huyo jamaa siku si nyingi atakula na wewe. Utakuja tuambia hapa kuwa hatimaye jamaa yako kakula na wewe pia.
 
Simhitaji mwanamke malaya sema nataka nimuache bila ya yeye kujua ,nipeni mbinu.
Unataka kufanya kosa la kiufundi bila wewe kujua.

Huyo mwanamke mwache kwa kumweleza makosa yake dhahiri kwa manufaa ya clients wengine watakaouparamia kuupanda huo mbuyu ili huyo malaya asije kuwachezea akili kama alivyokufanyia wewe.

Na ukimweleza sababu yenye ukweli inayosababisha kusitisha mahusiano naye, hautaona anarudi kukusumbua aslani.
 
Huyo ni mpenzi wenu, na nyie ni wapenzi watazamaji.
 
Kubalianeni siku moja mmoja aende nae guesf wakati mwingine ameshatangulia na awe ndani ya hicho chumba na akishaingia akiingia aliyekuja na demu mnamwambia leo tuhudumie bila kificho. Ila hakikisheni nyote hakuna anayempenda kwani atavujisha mpango
 
Simhitaji mwanamke malaya sema nataka nimuache bila ya yeye kujua ,nipeni mbinu.
Kwani ukamuacha akijua itakuathiri nin,?yeye kakufanyia mazur ili umrembe kiasi hicho?mchane piga chini msela akijua ndo poa munamuacha wote
 
Back
Top Bottom