Ushauri wenu utanisaidia sana

Ushauri wenu utanisaidia sana

Webbcoffee

Member
Joined
Feb 8, 2018
Posts
14
Reaction score
3
Wakuu habarini za wakati huu. Mapenzi mubashara ndugu zangu watafutaji/wajasiriamali/wafanyabiashara yasiwe tu kwa wapenzi wetu bali hata sisi watafutaji tupendane sisi kwa sisi hasa kwa kipindi hiki.

Leo nimekuja kwenu naomba ushauri utakaonisaidia niendelee hapa nilipokwama. Naomba ushauri hapa kwasababu JF napathamini na kupaheshimu kwa michango ya wanachama wake tofauti na mitandao mengine(much credits to you guys).

Katika kutafuta namna ya kupambana na maisha nilifikiria fursa moja ambayo niliona kwa Dar haijachangamkiwa. Hii fursa inafanywa ila naona inafanywa locally saana. Na fursa yenyewe ni coffee business(yes, I'm exposing it). Mtaani ukipita kila kona utakutana na mbeba birika la kahawa na wanauza 100 na nyakati za jioni inanyweka na inapedwa saana vijiweni.

Akili yangu iliniambia hii biashara haikui kwasababu wanaoifanya sio wabunifu. Hawajajipanga. wanaifanya kiuchafuuchafu ndiyo maana wanywaji watu wa chini(mtanisamehe hapa).

Nikaja na wazo la kuiboresha hasa kwa kuanza tu japo na mtaji mdogo nifungue mobile shop or bicycle coffee cart(nimeziona mbele saana). Ni brand bidhaa yangu niweze kuiuza kwa wanywaji kuanzia middle class kwenda juu (price bado). Najua kuna restraurants/hotels mjini zinauza ila sii kila mmoja atatakaa aende kule.

Nitafocus saana na takeaways huku nikichanganya ladha za milk coffee, cappuccino,vanilla na hata cold coffee.

Wasiwasi wangu sasa uliofanya niombe ushauri hadi kurisk kuexpose wazo la biashara. Je,

1. Dar kuna joto saana ndicho kinachosababisha kahawa isiwe maarufu au ni kukosekana tu kwa mchangamkia fursa?

2. Ni kweli hakuna utamaduni wa watu kunywa kahawa?

3. Locations nzuri hasa kuanzia Sinza, mikocheni, O'bay, Upanga n.k baadhi nimeshatembelea ila niongezeeni hasa zenye watu wengi na wenye karba ya aina ya hii bidhaa.

4. Mwisho ningependa kupata ushauri jumuishi kwa kila mmoja.

Asanteni saana wakuu. Niwakumbushe tu anayekuomba ushauri kakuheshimu na kukuthamini saana.
 
idea nzuri....
achana na mambo sijui ya milk cofee sijui vannila, cappuccino n.k

fanya haya utapiga sana hela

tengeneza kijiwe kizuri, nafasi za mabench nzuri za kukaaa walau watu 15plus at a time ....

weka kahawa na tangawizi.....

kaa mwenyewe au kama huwezi tafuta kijana nadhifu na mchangamfu....

nunua walau magazeti matatu au kwa siku.. sports na siasa...(mara nyingi hizi ndio story zinazotrend vijiweni) hakikisha kila siku unaweka haya magazeti.

weka na kashata nzuri za kutosha.....

vyombo(vikombe vya kutosha) kwa kuanzia nunua 30. sio zile dizain mtu anakunywa huku mwingine anasubiria, inakata stimu.

hakika utapiga pesa, tatizo watu wanadharau sana hizi busness ndogo ndogo..... hapa hutalipia frem, wala umeme, wala kod TRA.... sana sana utalipia ushuru wa eneo kwa siku ambayo ina-range 500-1500. all the best.
 
Asante saana mkuu ushauri wako nitauweka kwenye mjumuisho wa hii biashara umeniongezea idea mpya.
 
Idea yako ni Nzuri sana, ila fahamu kuwa hawa wanywaji wa kawaida wale wa vijiweni Ndio wako addicted na kahawa Kali (black coffee).

Nachoweza kukushauri, nunua baiskeli, wafafute hawa vijana wa kigoma wanaouza kahawa kwny birika, wakabidhi kahawa then wapangie hesabu kwa siku!

Hii itaongeza kipato kwao, maana watabeba kahawa nyingi na kuwauzia wateja wengi zaidi.

Maeneo maarufu ya kuuza kahawa ni Magomeni, kariakoo. Ilala, mbagala, msasani, Soko la feri Posta, na maeneo mengine yenye vijiwe vingi vya wazee!
 
mwanzo nili plan kufanya ulivyosema nikawa na wazo la kutengeneza hiki kitu

c87123ced68f82ed5c690e2121b5a8cf.jpg

Ila nikipiga hesabu ya return naona nitasubiri zaidi ya miaka kuweza kurudisha angalau investing cost kwa ile price ya 100 per cup or 200.

Unaonaje hili?

Ndiyo nikaja kwenye wazo la pili.
 
wanywaji wengi watu wakati kati na chini uko obay hautaweza uza hiyo kahawa.na waswahili wanapenda hali hiyo ilivyo wanavyokunywaga ,kama supu ya pweza inavyonyweka kwenye mazingira yankichafu chafu,fuata ushauri wa kitalebwa apo juu
 
asante chifu.
Ila ni kweli wanapenda uchafu uchafu kweli? Sio kwamba wauzaji ndiyo wamewazoesha
 
idea nzuri....
achana na mambo sijui ya milk cofee sijui vannila, cappuccino n.k

fanya haya utapiga sana hela

tengeneza kijiwe kizuri, nafasi za mabench nzuri za kukaaa walau watu 15plus at a time ....

weka kahawa na tangawizi.....

kaa mwenyewe au kama huwezi tafuta kijana nadhifu na mchangamfu....

nunua walau magazeti matatu au kwa siku.. sports na siasa...(mara nyingi hizi ndio story zinazotrend vijiweni) hakikisha kila siku unaweka haya magazeti.

weka na kashata nzuri za kutosha.....

vyombo(vikombe vya kutosha) kwa kuanzia nunua 30. sio zile dizain mtu anakunywa huku mwingine anasubiria, inakata stimu.

hakika utapiga pesa, tatizo watu wanadharau sana hizi busness ndogo ndogo..... hapa hutalipia frem, wala umeme, wala kod TRA.... sana sana utalipia ushuru wa eneo kwa siku ambayo ina-range 500-1500. all the best.
Dahh nikilifanyia kazi hili wazo ni sawa mkuu?? Umenipa akil ya maana sana
 
mwanzo nili plan kufanya ulivyosema nikawa na wazo la kutengeneza hiki kitu

c87123ced68f82ed5c690e2121b5a8cf.jpg

Ila nikipiga hesabu ya return naona nitasubiri zaidi ya miaka kuweza kurudisha angalau investing cost kwa ile price ya 100 per cup or 200.

Unaonaje hili?

Ndiyo nikaja kwenye wazo la pili.
It's good idea.

But Ww nenda kisasa zaidi, mfano package yako iwe Nzuri kuliko Ile wanayofanya vijana wa kigoma, meaning weka kwny vikombe vizuri zaidi na visaafi.

Pia ongeza kidogo size ya vikombe, mfano km vya wale vijana ni 70mls, Ww weka iwe 110mls then uza kwa 200 still watu watanunua wengi.

Pia lenga kupatia faida zaidi kwny bites, Andaa bites Nzuri zitakazowavutia wateja.
 
Asante saana.
 
idea nzuri....
achana na mambo sijui ya milk cofee sijui vannila, cappuccino n.k

fanya haya utapiga sana hela

tengeneza kijiwe kizuri, nafasi za mabench nzuri za kukaaa walau watu 15plus at a time ....

weka kahawa na tangawizi.....

kaa mwenyewe au kama huwezi tafuta kijana nadhifu na mchangamfu....

nunua walau magazeti matatu au kwa siku.. sports na siasa...(mara nyingi hizi ndio story zinazotrend vijiweni) hakikisha kila siku unaweka haya magazeti.

weka na kashata nzuri za kutosha.....

vyombo(vikombe vya kutosha) kwa kuanzia nunua 30. sio zile dizain mtu anakunywa huku mwingine anasubiria, inakata stimu.

hakika utapiga pesa, tatizo watu wanadharau sana hizi busness ndogo ndogo..... hapa hutalipia frem, wala umeme, wala kod TRA.... sana sana utalipia ushuru wa eneo kwa siku ambayo ina-range 500-1500. all the best.
Nice piece of advice...
 
Natamani mtu aliyefika ulaya anifafanulie kinachoshindikana Coffee shop kwa Dar.

Ni kwasababu hakuna aliyejitokeza kuifanya? Natamani niifanye hii biashara hata kama sio kwa ukisasa zaidi ila iwavutie kila karba ya watu.

Nitafute coffee maker/grinder kubwa nitafute site mjini nifanye.

Cc RRONDO
 
Naaam, Merinyo mkuu Pembeni mwa MKikahawa.

hah hah hah......!

idea nzuri....
achana na mambo sijui ya milk cofee sijui vannila, cappuccino n.k

fanya haya utapiga sana hela

tengeneza kijiwe kizuri, nafasi za mabench nzuri za kukaaa walau watu 15plus at a time ....

weka kahawa na tangawizi.....

kaa mwenyewe au kama huwezi tafuta kijana nadhifu na mchangamfu....

nunua walau magazeti matatu au kwa siku.. sports na siasa...(mara nyingi hizi ndio story zinazotrend vijiweni) hakikisha kila siku unaweka haya magazeti.

weka na kashata nzuri za kutosha.....

vyombo(vikombe vya kutosha) kwa kuanzia nunua 30. sio zile dizain mtu anakunywa huku mwingine anasubiria, inakata stimu.

hakika utapiga pesa, tatizo watu wanadharau sana hizi busness ndogo ndogo..... hapa hutalipia frem, wala umeme, wala kod TRA.... sana sana utalipia ushuru wa eneo kwa siku ambayo ina-range 500-1500. all the best.
Hapo unaongeza na TV kwa ajili ya kupata habari.
 
Back
Top Bottom