Fua mashuka, foronya za mto na chandarua... Pole mkuu...Wakuu kumekucha!
Naombeni ushauri wenu yaani saa hivi kila asubuhi nikiamka napiga chafya sana!!!vipi wakuu huu ni ugonjwa niwahi aghakhan au!!!
Wakuu kumekucha!