Ushauri wenu wadau

Ushauri wenu wadau

Cardinal06

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
963
Reaction score
326
Hivi ni sawa kumuoa mwanamke aliyekuzidi umri?? Kidini imekaaje?? Mfano mwanamke amekuzidi miaka 4, nini madhara ya kibayolojia??
 
Kiukweli kama ni kimapenzi tu umri wala sio tija ila Kama ni kwa maslai flani Badae italeta shida
 
Back
Top Bottom