Ushauri wenu wakuu kabla sijachikua maamuzi magumu ya kuuwa!

Wakuu poleni na weak and
Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana!! Yaani ni mtu wangu wakaribu sana kiasi kwamba chake changu na changu chake!
Sasa wakati leo naelekea zangu stendi gafla nikakutana nae yeye kaongozana dada mmoja!sasa mimi tukasalimia fresh wote tukamaliza!sasa mimi nikamvuta yule rafiki yangu pembeni nikamuuliza vipi huyo ni dadaako?? Wakuu kwa kweli sikuamini yule rafiki yangu kanipiga kofi hadi nikapatwa na kizunguzungu!!mpaka sasa nijiuliza hivi pale kosa langu ni nini!!!wakuu naombeni ushauri wenu kabla sijachukua maamuzi magumu kwa huyu rafiki yangu!!!
mkewe humjui mkuu?
 
"weak and" kweli kelele za mabasi zimekuathiri ukichanganya na hilo kofi la kelb ..... wa stendi
 
Wakuu poleni na weak and
Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana!! Yaani ni mtu wangu wakaribu sana kiasi kwamba chake changu na changu chake!
Sasa wakati leo naelekea zangu stendi gafla nikakutana nae yeye kaongozana dada mmoja!sasa mimi tukasalimia fresh wote tukamaliza!sasa mimi nikamvuta yule rafiki yangu pembeni nikamuuliza vipi huyo ni dadaako?? Wakuu kwa kweli sikuamini yule rafiki yangu kanipiga kofi hadi nikapatwa na kizunguzungu!!mpaka sasa nijiuliza hivi pale kosa langu ni nini!!!wakuu naombeni ushauri wenu kabla sijachukua maamuzi magumu kwa huyu rafiki yangu!!!

Una miaka mingapi?
 
.....maisha yanaboa ama kichwa kipo idle sana...??
...maana nyuzi zako za kindezi sana aisee!
 
Wa stendi,wewe ni hatari hata kwa maisha yako na wenzako,ulifanya jambo moja baya lakini zuli kwa kukufundisha jinsi ya kuishi na rafiki zako,unaonekana unapenda vya wenzako hutaki kutafuta vyako.Hapo ulikosea ulipaswa hata kupigwa mpaka tukusikie uko mhimbili.Halafu kihalisia huna nguvu ungekuwa uko vizuli ungerudisha angalau ndio ungeona kuwa unafiki.Fanya mambo yote yanayoendana kauli yako kuwa chako ni chake,lakini mwanamke huwezi kusema chako ni chake. Pia hujajua kupenda na unajifunza mapenzi utakuwa ni kama wale vijana ambao wakiona mtu anapita na demu mtaa mzima wanajua mwanaume wa namna hiyo ni mshambenga..Pia epuka kusema utaua siku utajikuta unasema hivyo halafu inakugeukia mwenyewe. Nimependa alichokufanyia jamaa na ninakupongeza kwa kuleta hoja humu ili kama kuna wengine wajifunze kuwa sio kila chako ni chake.
 
Daa! Lakini mkuu roho inaniuma lile kofi mimi sikulitarajia kwani ni kubwa mno alafu isitoshe ni rafiki wangu wa karibu yaani hadi sasa siamini!!!
 
Wakuu poleni na weak and
Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana!! Yaani ni mtu wangu wakaribu sana kiasi kwamba chake changu na changu chake!

Sasa wakati leo naelekea zangu stendi gafla nikakutana nae yeye kaongozana dada mmoja!sasa mimi tukasalimia fresh wote tukamaliza!sasa mimi nikamvuta yule rafiki yangu pembeni nikamuuliza vipi huyo ni dadaako??

Wakuu kwa kweli sikuamini yule rafiki yangu kanipiga kofi hadi nikapatwa na kizunguzungu!!mpaka sasa nijiuliza hivi pale kosa langu ni nini!!!wakuu naombeni ushauri wenu kabla sijachukua maamuzi magumu kwa huyu rafiki yangu!!!
mpotezee tu. ana stress
 
Chikua tu ndugu! Maana hamna jinsi tena!
 
Acha fix zako wewe kama ulipigwa kofi tena mbele ya msichana na ukakaa kimya ndio unataka kutudanganya utaweza kuuwa mtu wewe,au unataka kumpa mtu kesi ya mauaji
 
Back
Top Bottom