Ushauri wenu wakuu kabla sijachikua maamuzi magumu ya kuuwa!

mkewe humjui mkuu?
 
"weak and" kweli kelele za mabasi zimekuathiri ukichanganya na hilo kofi la kelb ..... wa stendi
 

Una miaka mingapi?
 
.....maisha yanaboa ama kichwa kipo idle sana...??
...maana nyuzi zako za kindezi sana aisee!
 
Wa stendi,wewe ni hatari hata kwa maisha yako na wenzako,ulifanya jambo moja baya lakini zuli kwa kukufundisha jinsi ya kuishi na rafiki zako,unaonekana unapenda vya wenzako hutaki kutafuta vyako.Hapo ulikosea ulipaswa hata kupigwa mpaka tukusikie uko mhimbili.Halafu kihalisia huna nguvu ungekuwa uko vizuli ungerudisha angalau ndio ungeona kuwa unafiki.Fanya mambo yote yanayoendana kauli yako kuwa chako ni chake,lakini mwanamke huwezi kusema chako ni chake. Pia hujajua kupenda na unajifunza mapenzi utakuwa ni kama wale vijana ambao wakiona mtu anapita na demu mtaa mzima wanajua mwanaume wa namna hiyo ni mshambenga..Pia epuka kusema utaua siku utajikuta unasema hivyo halafu inakugeukia mwenyewe. Nimependa alichokufanyia jamaa na ninakupongeza kwa kuleta hoja humu ili kama kuna wengine wajifunze kuwa sio kila chako ni chake.
 
Daa! Lakini mkuu roho inaniuma lile kofi mimi sikulitarajia kwani ni kubwa mno alafu isitoshe ni rafiki wangu wa karibu yaani hadi sasa siamini!!!
 
mpotezee tu. ana stress
 
Chikua tu ndugu! Maana hamna jinsi tena!
 
Acha fix zako wewe kama ulipigwa kofi tena mbele ya msichana na ukakaa kimya ndio unataka kutudanganya utaweza kuuwa mtu wewe,au unataka kumpa mtu kesi ya mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…