Ushauri wenu wakuu nahitaji nafasi ya kujitolea

Patrick Pas

Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
5
Reaction score
8
Naitwa Patrick nipo kigamboni miaka 22, namalizia chuo hapa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere, kozi ya human resources management, degree.

Lengo kubwa ni kupata hata sehemu ya kufanya kazi hata kujitolea walau iniweke busy nikiwa nasubiria cheti kitoke ili nianze kuomba kazi official, nadhani hili jukwaa lina wabobezi wakubwa wa haya mambo, nahitaji ushauri zaidi
 
Maliza kusoma kwanza..

Kingine naomba nikuulize maswali flan kama hutojali
 
Maliza kusoma acha wenge,hata iyo sehemu ya kujitolea utaona miyeyusho,kajaribu uwinga Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…