Nyuzi za kujenga nchi ya viwanda zipo nyingi ungeenda kusoma hizo kwenye majukwaa yake. unakuja chit chat kutafuta viwanda?Ndiyo sababu li nchi linajiendea tu kama mkondo wa Nungwi, kwa akili hii utegemee nchi ya viwanda!!
Bila picha thread yako haina maanaWakuu nimeona mende wawili wakifanya mapenzi. Nilitaka kuwamwagia dawa ya kuwaua ila nikawaza tena. Pengine wa kiume ashamfukuzia wa kike kwa miaka mingi na hajawahi kukubaliwa. Pengine huyu wa kike ashakula pesa zake nyingi bila kumkubalia... Mimi ni binadamu mwenye moyo msafi. Wacha waburudike...
Lakini nilipokuwa naondoka wazo lilinijia, je ikiwa anambaka? Nimechanganyikiwa... Hebu niambieni nifanyeje?
Hahahahha..!!Wakuu nimeona mende wawili wakifanya mapenzi. Nilitaka kuwamwagia dawa ya kuwaua ila nikawaza tena. Pengine wa kiume ashamfukuzia wa kike kwa miaka mingi na hajawahi kukubaliwa. Pengine huyu wa kike ashakula pesa zake nyingi bila kumkubalia... Mimi ni binadamu mwenye moyo msafi. Wacha waburudike...
Lakini nilipokuwa naondoka wazo lilinijia, je ikiwa anambaka? Nimechanganyikiwa... Hebu niambieni nifanyeje?