Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 514
Wakuu nimeona mende wawili wakifanya mapenzi. Nilitaka kuwamwagia dawa ya kuwaua ila nikawaza tena. Pengine wa kiume ashamfukuzia wa kike kwa miaka mingi na hajawahi kukubaliwa. Pengine huyu wa kike ashakula pesa zake nyingi bila kumkubalia... Mimi ni binadamu mwenye moyo msafi. Wacha waburudike...
Lakini nilipokuwa naondoka wazo lilinijia, je ikiwa anambaka? Nimechanganyikiwa... Hebu niambieni nifanyeje?
Lakini nilipokuwa naondoka wazo lilinijia, je ikiwa anambaka? Nimechanganyikiwa... Hebu niambieni nifanyeje?