Ushauri wenu wakuu sijui nineuwaa!!!

Ushauri wenu wakuu sijui nineuwaa!!!

Wewe ni mpiga debe wa stendi ipi? Hao watu wako walizinduka?
 
Wewe si unaitwa WA STENDI, sasa njia panda unafanya nn?
 
Ni hivi wakuu nimerudi nikakuta beki 3 ameendaa maji ya kumwogesha mtoto!! Sasa ile amemwagia maji mgongoni yale maji yalivyo ya baridi amezimia!!nikajikuta na mimi nimemzaba kofi yule beki 3 nae chali chini kazimia! Sasa niko kwenye njiapanda sijui nikimbie!!

Acha kupost ujinga wewe
 
cha msingi vua nguo zotee kisha toka nje ukaite majirani then wakikuuliza kwa nn wamezimia hawa wote waambie waliona john mkuchika wko wkt unatoka kuoga that's why wamezimia
 
Back
Top Bottom