Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Halafu yaonyesha wa stand ni mtumishi wa halmashauri.Una umri gani wewe wa Stendi? Naona mada zako zimekaa Kifesibuku fesibuku tu!!
Ni hivi wakuu nimerudi nikakuta beki 3 ameendaa maji ya kumwogesha mtoto!! Sasa ile amemwagia maji mgongoni yale maji yalivyo ya baridi amezimia!!nikajikuta na mimi nimemzaba kofi yule beki 3 nae chali chini kazimia! Sasa niko kwenye njiapanda sijui nikimbie!!
Tatizo mito ya dar imejaa takatakaHiyo kama sio hadithi basi bongo movie.
Ungeua usingekimbilia jamii forum wewe.
Saiz ungekuwa umeshavuka mito hata sita..