Ushauri wenu wana ndugu ntachomokaje hapa?

patterns

•angalia wote wawili wanatumia alama za mshangao mbili kwa sms
• Wote wanaanza na herufi kubwa mara nyingi halafu kati wanachanganya na herufi kubwa tena
•Time gap hamna ipo weka niweke txt hakukuwa na mda wa kufikiria majibu, kwamba something was scripted
 
Kwa hiyo lengo ni kupata comment sio?? Halafu comment zinakuletea riziki ya Kila siku au sio??
 
Hiyo background Ni whatsfake .
Na ukiangalia muda wa msg kuwa received na replied plus alama za uhandishi kufanana unaona tu hii Ni kitu Toka Mufindi.
 
Watu wapo busy kutafuta content za kupost. Wanaichafua taasisi ya ndoa kwa makusudi kabisa
 
Jamaa anajiandikia ujumbe hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…