Ukipata bahati ya nafasi ya kufanya kazi au biashara katika umri mdogo (kuaznia 18 hadi 27)usidharau kazania sana kujua io kazi zaidi katika umri huo.
Kuna utofauti wa mtu aliyeanza kazi kwenye age io na yule aliyeanza above io age. ndo mana baadhi ya wenye mali huanza kuwalithisha mipango na njia ya kusimamia mali watoto wao katika umri huo na sio zaidi ya hapo. ikitokea zaidi ya huo basi ni rahisi sana biashara kufail (ingawa sio mara zote)
Kuna faida sana ukifanikiwa kufanya kazi kwenye umri huo. Faida hizo ni kama ifuatavyo
1. Unapata muda mwingi kujifunza na kujua kazi zaidi, na hii inapelekea kujua vitu vingi kwenye muda mdogo.
2. Unajijenga zaidi kimawazo
3. Unakuwa na advantage kubwa kwenye uchumi (inategemea nini unaingiza na namba ya watu kwenye circle yako wanaokuangalia,family stability)
4. Uwezo wa kungámua na kuamua majambo katika maisha yako.
5. Kujiendeleza kielimu na kimaisha (ikiwa utahitaji kusoma zaidi)
6. Kupanda ngazi kazini (siyo lazima sana ila unaweza kupanda ngazi ya juu ukiwa na umri mdogo)
7. Uwezo wa ku-catch up haraka - katika io ages mtu unakuwa sharp sana kwenye kushika mambo tofauti na mwenye above 30 (kitaalamu).
8. Kuwa na pension alinona baada ya retirement.
Kwa faida hizo tajwa nakushauri kama kijana pigania sana nafasi yako katika kujikwamua kabla hujazeeka.