Ushauri: Wenza wa Wabunge nao walipwe mafao kama wenza wa viongozi wa juu

Ushauri: Wenza wa Wabunge nao walipwe mafao kama wenza wa viongozi wa juu

Hakika nimemsika Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu 4 ambaye pia ni Mbunge akisema yeye ndie aliyependekeza Bungeni juu ya WENZA wa Viongozi wa JUU walipwe MAFAO kutokana na kuumiza Akili wa Wenza wao Wanatekeleza Majukumu yao.

Kutokana na hilo Mimi NAPENDEKEZA WENZA wa Wabunge nao Wanastahili KILIPWA MAFAO kama Wanavyolipwa WENZA wa VIONGOZI wa JUU.Kazi za UBUNGE ni ngumu sana Mbunge anakaa nje ya Kwake kwa miezi 3 BUNGE la BAJETI hali ambayo

Inaifanya Familia ya itumie AKILI Maisha yaendelea licha ya Mbunge kuwa BUNGENI

Pia Wabunge wamekuwa nao wakiumiza Akili kwa kuchambua Miswaada mbalimbali na Kutunga Sheria.

Kutokana na hali hiyo Naomba Wahusika Waliangalie kwa ukaribu suala hili.

==
Soma Wenza nao kulipwa mamilioni halikubaliki viongozi muogopeni Mungu
Wazingatiwe aisee hii haijakaa sawa
 
Back
Top Bottom