Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria.

Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea Tanzania? inawezekana kabisa lakini kunatakiwa kuwa na makubaliano na hizi kampuni.

Nashauri serikali ifanye mwaliko wa hawa maguru na wakubwa wa hizi kampuni ili wafungue data center Tanzania waweze kuajiri wataalamu tofauti hasa kwenye teknolojia. Tusione aibu kuandikia barua na kualika hata kama wakisema hawana muda tunaweza kubahatisha mmoja.

Niongezee tu kwenye soko la hisa za Marekani 50% ni kampuni za teknolojia hizo hapo ni thamani za kampuni mfano Apple hapo ni $T2.3 na Oracle ni $240B

bolCompanyCap Rank
1-27-23
Market Cap
1-27-23
1d Chg
1-27-23
1m Chg
1-27-23
12m Chg
1-27-23
AAPLApple12,311.01.4%12.2%-8.3%
MSFTMicrosoft21,848.00.1%4.7%-17.2%
GOOGLAlphabet31,294.3-0.9%-1.1%-34.6%
AMZNAmazon41,042.6-1.6%-10.6%-48.1%
BRK-ABerkshire Hathaway5682.80.0%1.7%1.9%
TSLATesla6561.811.0%63.0%-35.6%
NVDANvidia7501.02.8%44.2%-7.2%
TSMTaiwan Semiconductor8483.9-0.2%25.5%-19.8%
VVisa9477.23.0%12.2%12.3%
XOMExxonMobil10476.1-1.8%4.9%53.9%
UNHUnitedHealth11454.1-1.3%-8.6%5.3%
JNJJohnson & Johnson12439.8-0.4%-5.2%-1.4%
JPMJPMorgan Chase13411.60.2%6.5%-3.4%
METAMeta14397.93.0%29.8%-48.5%
WMTWalmart15386.50.8%-0.4%5.5%
MAMastercard16359.6-0.9%8.1%6.7%
CVXChevron17347.0-4.4%-0.1%32.6%
PGProcter & Gamble18331.6-0.4%-8.7%-11.7%
LLYEli Lilly19325.1-1.7%-6.2%44.5%
HDHome Depot20322.80.9%-0.9%-11.1%
BABANvidia21313.4-1.8%31.7%5.9%
BACBank of America22284.40.3%9.0%-22.0%
MRKMerck23267.2-1.4%-6.0%30.8%
ASMLASML24266.6-2.4%24.2%5.2%
KOCoca-Cola25261.6-0.5%-5.8%1.4%
ABBVAbbVie26258.7-0.8%-10.3%7.6%
AVGOBroadcom27247.0-1.3%6.8%9.0%
PFEPfizer28245.8-1.0%-14.4%-18.0%
ORCLOracle

Larry Ellison-Oracle Corporation
1675091721306.png

Tesla-Elon Musk
1675091739883.png

Microsoft-Satya Narayana Nadella
1675091764181.png

Alphabet-Google-Sundar Pichai
1675091784044.png

SAP CEO Christian Klein
1675091807608.png

IBM CEO Arvind Krishna's
1675091826399.png
 
Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria. Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technologia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea Tanzania? inawezekana kabisa lakini kunatakiwa kuwa na makubaliano na hizi kampuni. Nashauri serikali ifanye mwaliko wa hawa maguru na wakubwa wa hizi kampuni ili wafungue data center Tanzania waweze kuajiri wataalamu tofauti hasa kwenye technologia. Tusione aibu kuandikia barua na kualika hata kama wakisema hawana muda tunaweza kubahatisha mmoja.

Larry Ellison-Oracle Corporation
View attachment 2500406
Tesla-Elon Musk
View attachment 2500407
Microsoft-Satya Narayana Nadella
View attachment 2500408
Alphabet-Google-Sundar Pichai
View attachment 2500409

SAP CEO Christian Klein
View attachment 2500410

IBM CEO Arvind Krishna's
Hizi tunazoziita Technologia tusipo amka na kuhakikisha matumizi yake sahihi,tutakuwa watumwa wa wenye nazo,na watatajirika kupitia sisi kwa ugeni wa hizo technologia zao,ni ushauri wa bure, hata zinazoitwa sap, zinatumika vibaya mno hadi mda hii,na wazitumiazo wanachukuliwa ni fursa katika technologia 🤔
 
Hizi tunazozitoa Technologia tusipo amka na kuhakikisha matumizi yake sahihi,tutakuwa watumwa wa wenye nazo,na watatajirika kupitia sisi kwa ugeni wa hizo technologia zao,ni ushauri wa bure,hata zinazoitwa sap,zinatumika vibaya mno hadi mda hii,na wazitumiazo wanachukuliwa ni fursa katika technologia 🤔

Sijui kama umenielewa nia yangu ni serikali kuwaomba hawa wafungue ofisi ambazo zitaajiri vijana wetu. Hawa vijana watakuwa na uwezo wa kufanya kazi za nchi nyingine wakiwa Tanzania. Mfano kuna kazi nyingi zinafanywa na watu kutoka India au Malaysia na ni kwa kampuni za nchi nyingine.

Hii hasa ndiyo nia kubwa. Imefika wakati unaweza kufanya kazi ukiwa nchi nyingine. Lakini kuhusu technologia zao tayari tunazitumia na hazijepukiki kwa sasa lakini tunafaidika vipi hapo ndiyo nataka kutoa ushauri
 
Asante kaka,nje ya maada kidogo,.India kumetokea na wataalamu wengi nyanja ya technology duniani serikali iliamua kufanya Internet iwe gharama nafuu sana ili vijana weweze kumudu internet, India 1GB ya data inauzwa kama Tsh 200 ya Tanzania..wanaofanya kazi wengi Upwork na Freelancer ni wahindi..
 
Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria.

Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technologia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea Tanzania? inawezekana kabisa lakini kunatakiwa kuwa na makubaliano na hizi kampuni.

Nashauri serikali ifanye mwaliko wa hawa maguru na wakubwa wa hizi kampuni ili wafungue data center Tanzania waweze kuajiri wataalamu tofauti hasa kwenye technologia. Tusione aibu kuandikia barua na kualika hata kama wakisema hawana muda tunaweza kubahatisha mmoja.

Larry Ellison-Oracle Corporation
View attachment 2500406
Tesla-Elon Musk
View attachment 2500407
Microsoft-Satya Narayana Nadella
View attachment 2500408
Alphabet-Google-Sundar Pichai
View attachment 2500409

SAP CEO Christian Klein
View attachment 2500410

IBM CEO Arvind Krishna's
View attachment 2500411
Balozi wetu wa Washington kazi yake kila siku kupost Makala za magazeti na majarida kule LinkedIn,utadhani ni Mwandishi wa habari.Watu waliochoka kiakili ndiyo wanateuliwa kuwa Mabalozi sasa hizo opportunities mtazipatia wapi?
 
Y

Yupi uyo? Masilingi?
 
Lakini kwa ukubwa wa hawa jamaa inabidi mwaliko utoke Ikulu na sio ubalozini.
 
Pia waalikwe ma CEO wa makampuni makubwa ya Shipping Line na Ship Building duniani. Wenzetu Kenya kipindi cha Raisi Uhuru Kenyatta walifanikiwa kuingia makubaliano(Memorandum of Understanding) na shipping line za Mediteranean Shipping Company (MSC) ambapo kila mwaka vijana zaidi ya 500 wanapata nafasi ya kufanya kazi kwenye meli na kampuni hiyo.
 
Kweli Mkuu,kuna Mkenya juzi kati kapewa tuzo kubwa sana kwenye masuala ya Marine & shipping issues.
 
Mwamba aliyeweza kucheza na Madon Kama hawa ni JaKaya Kikwete tu!

Alikuwa na kipaji kikubwa Sana Cha kidiplomasia na mahusiano.
 
Haya mambo yanahitaji maandalizi. India wana graduate takriban wanafunzi laki kwa mwaka, alafu wamejutahidi ktk lugha ya kiengereza.

Is not about KUANDIKA BARUA na kuwasha waje kuajiri Watanzani, kuna SKILL nyingi wanazoziangalia pamoja na INFRACSTRUCTURE
 
Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria.

Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea Tanzania? inawezekana kabisa lakini kunatakiwa kuwa na makubaliano na hizi kampuni.

Nashauri serikali ifanye mwaliko wa hawa maguru na wakubwa wa hizi kampuni ili wafungue data center Tanzania waweze kuajiri wataalamu tofauti hasa kwenye teknolojia. Tusione aibu kuandikia barua na kualika hata kama wakisema hawana muda tunaweza kubahatisha mmoja.

Niongezee tu kwenye soko la hisa za Marekani 50% ni kampuni za teknolojia hizo hapo ni thamani za kampuni mfano Apple hapo ni $T2.3 na Oracle ni $240B

bolCompanyCap Rank
1-27-23
Market Cap
1-27-23
1d Chg
1-27-23
1m Chg
1-27-23
12m Chg
1-27-23
AAPLApple12,311.01.4%12.2%-8.3%
MSFTMicrosoft21,848.00.1%4.7%-17.2%
GOOGLAlphabet31,294.3-0.9%-1.1%-34.6%
AMZNAmazon41,042.6-1.6%-10.6%-48.1%
BRK-ABerkshire Hathaway5682.80.0%1.7%1.9%
TSLATesla6561.811.0%63.0%-35.6%
NVDANvidia7501.02.8%44.2%-7.2%
TSMTaiwan Semiconductor8483.9-0.2%25.5%-19.8%
VVisa9477.23.0%12.2%12.3%
XOMExxonMobil10476.1-1.8%4.9%53.9%
UNHUnitedHealth11454.1-1.3%-8.6%5.3%
JNJJohnson & Johnson12439.8-0.4%-5.2%-1.4%
JPMJPMorgan Chase13411.60.2%6.5%-3.4%
METAMeta14397.93.0%29.8%-48.5%
WMTWalmart15386.50.8%-0.4%5.5%
MAMastercard16359.6-0.9%8.1%6.7%
CVXChevron17347.0-4.4%-0.1%32.6%
PGProcter & Gamble18331.6-0.4%-8.7%-11.7%
LLYEli Lilly19325.1-1.7%-6.2%44.5%
HDHome Depot20322.80.9%-0.9%-11.1%
BABANvidia21313.4-1.8%31.7%5.9%
BACBank of America22284.40.3%9.0%-22.0%
MRKMerck23267.2-1.4%-6.0%30.8%
ASMLASML24266.6-2.4%24.2%5.2%
KOCoca-Cola25261.6-0.5%-5.8%1.4%
ABBVAbbVie26258.7-0.8%-10.3%7.6%
AVGOBroadcom27247.0-1.3%6.8%9.0%
PFEPfizer28245.8-1.0%-14.4%-18.0%
ORCLOracle

Larry Ellison-Oracle Corporation
View attachment 2500406
Tesla-Elon Musk
View attachment 2500407
Microsoft-Satya Narayana Nadella
View attachment 2500408
Alphabet-Google-Sundar Pichai
View attachment 2500409

SAP CEO Christian Klein
View attachment 2500410

IBM CEO Arvind Krishna's
View attachment 2500411

Serikali naombeni mnisikilize kwenye hili kusaidia vizazi vijavyo
 
Back
Top Bottom