Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu.
Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya misimu mingine waliyotolewa. Odds nyingi zinalalia kwa simba.
Yanga kuvuka ni 30% japo uwezo wa kwenda makundi wanao, al hilal ni timu nzuri na tajiri lakini hawatishi kihivyooo, walikuja hapa simba tukawabonda za kutosha.
Yanga hichi ni kipimo chenu kudhihirisha ukubwa wenu
Na hakika simba angepangwa na al hilal wasingekua na mawazo saana Kama wanayanga.
Yanga ifike hatua Kama wenzao simba waliyofikia hawaogopi timu yoyote, kinachoiwazisha simba ni timu chache ambazo zipo kwenye top ten (rank ya caf)....
Mwisho
Yes tuache kuishi kizamani kwenye hizi game.
Kuna Raha kubwa kuona yanga yupo makundi, Simba Yuko makundi then Azam naye anajipapatua unakuta Yuko makundi ya shirikisho. Inafanya ligi ichangamke.
Dirisha lililopita wachezaji wengi walikuwa wanatamani kuja kucheza Tanzania kwasababu wanatuona tuko serious.
Al hilal siyo wepesi lakini pia siyo wagumi kihivyo kiasi Cha kuooogopa.
Simba ule msimu wa kwanza wanatamba kimataifa walipangwa na wanafainali wa CAF champions league na confederation cup wa msimu wa nyuma yake, lakini mbona walitoboa tu.