Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Yanga imefanikiwa kuingia mechi za makundi kwa uwezo mzuri wa kiufundi kisoka iiliouonesha pale tunisia.mbali na furaha hiyo kwa sisi wapenzi wa soka yanga inalizimika kujihadhali na kuporomoka kwa soka baada ya michuano kuisha.
Kuporomoka kwa soka kunatokana na uwezekano mkubwa wa kuibiwa wachezaji wake wazuri kama salumu Abubakari,Mayele,Clement mzize, feisal na kipa mdaka mishale. kibaya zaidi ni kuwindwa kwa kocha wake Nabi ambaye kila timu barani Africa hivi sasa zinakuwa zinafuatilia CV yake.
Ni jambo la dhahabu sana kwa viongozi wa Yanga kwa muda huu kuanza kujua mapema swala hili na kupekeuwa CV za makocha bora wakali barani Africa ili Nabi akiondoka basi huyo kocha mbadala aletwe mara moja na si kungojea kusaka porini kuwinda kocha kwa kupanic. hii janja ya kuihami timu ndiyo siri pekee inayoifanya real madrig kutoporoka kwa kiwango kikubwa kisoka huko ulaya.
Kwangu mimi nishamuona kocha mzuri ambaye anaweza kuwa mbadala wa nabi kama nabi akiwindwa kwa pesa kubwa na timu za kaskazini. kocha huyo ni yule wa Klabu bingwa ya angola Petro atretico de Angola.