Ushauri

Ushauri

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
USHAURI WA BURE

kama ni mtumishi wa umma au idara ya serikali, ukiamka asubuhi kabla hujajiandaa kwenda kazini kwanza pitia social media "unaweza save nauli yako" kuanzia maisha ya kesho yake.

Mfano napata taarifa NOW kuwa wafanyakazi 597 wa NIDA wamepingwa STOP.
 
Asante kwa ushauri...wahusika wamekupata vilivyo bibie
 
Back
Top Bottom