Ushauri

Ushauri

whitening

Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
15
Reaction score
1
Naomben kufahamu kila kitu juu ya gar aina ya toyota murano, uzuri wake na matatizo yake na bei yake, wenye uelewa tafadhar
 
Mkuu, hakuna Toyota murano! Kuna Nissan Murano. Je, utapenda Toyota au Nissan?
 
Toyota Murano hio itakua ni aina ya excavator mkuu au?
 
Back
Top Bottom