Ushauri

Mkuu kama imetokea ivyo si mbaya, wengi wanaenda hadi China kutafuta mbegu
 
Kwa comment zako hizi ndio maana hatukuowi , shauri yako sisi wanaume tunaangalia vitu vingi.
Mwanaume wa kunioa atoke jf? Waulize walivojazana pm kama nilishawai hata kuwajibu.kwendeni huko sitaki mtu huku.
 
Nilidhani anangoma kumbe mimba lea acha uchoro kazi kupakia mafuta yakileta neema oh yupo positive mazero mengine.
 
Mwanaume wa kunioa atoke jf? Waulize walivojazana pm kama nilishawai hata kuwajibu.kwendeni huko sitaki mtu huku.
Hapana miss.huwez jua unaweza kua unae.ilaa wengine wanapata humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alitegea siku yai linatokaa ndo akapigaa mzigooo
Ilitokea tuu mkuu siunajua mda mwingine haipangwi ilaa hakuna kilichoharibikaa
 
Kwann usiamini kwan huna uwezo wa kuzalisha? cha muhimu ni kupata uhakika kama ni yako na hujabambikiwa basi, hivyo vipimo vinaonyesha kitu kimo kinapumua.
Okay sawaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…