Ushauri

Ushauri

Mkuu kama imetokea ivyo si mbaya, wengi wanaenda hadi China kutafuta mbegu
 
Kwa comment zako hizi ndio maana hatukuowi , shauri yako sisi wanaume tunaangalia vitu vingi.
Mwanaume wa kunioa atoke jf? Waulize walivojazana pm kama nilishawai hata kuwajibu.kwendeni huko sitaki mtu huku.
 
Kuna mwez mmoja na nusu umepita tangu nishiriki na binti mmoja Leo nimetumiwa hii kitu sasa najiuliza ni kwel yuko positive na je kuna vitu vinaweza fanyaa aonekae postive wakati ni negative kwa kutumia hiko kipimo ili nikahakikishe mwenyew hospital ?


View attachment 974831
Nilidhani anangoma kumbe mimba lea acha uchoro kazi kupakia mafuta yakileta neema oh yupo positive mazero mengine.
 
Mwanaume wa kunioa atoke jf? Waulize walivojazana pm kama nilishawai hata kuwajibu.kwendeni huko sitaki mtu huku.
Hapana miss.huwez jua unaweza kua unae.ilaa wengine wanapata humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alitegea siku yai linatokaa ndo akapigaa mzigooo
Ilitokea tuu mkuu siunajua mda mwingine haipangwi ilaa hakuna kilichoharibikaa
 
Back
Top Bottom